Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni kampuni gani mkuu uliyowaelekeza?Ukienda ofisini kwao, hakuna gharama zitakazoongezeka. Na chance ya kupunguziwa ni kubwa. Kuna watu niliwaelekeza wakaenda Jumatatu wiki iliyopita, walikuwa wanataka kuagiza Toyota Rush. Walipunguziwa dola 700 kwenye bei inayoonekana mtandaoni. Binafsi nilipunguziwa kutoka $5127 hadi $4660. Kama ni mtu usiyetaka usumbufu, lipia gharama za gari, inspection, hadi clearance. Wkt wa kulipa ushuru watakutafuta ulipie, baada ya hapo watakutafuta ukachukue gari lako.
Vipi ulipunguziwa dau zuri mkuu?Mi nimeagiza mwenyewe...
Nikabagain mwenyewe....
Nikalipia kila kitu mwenyewe...
Natarajia kupokea ndinga mwenyewe...
Maana ni yangu mwenyewe....
Shida ya Watanzania wengi ni uoga na kutishana.
Hata gari za mkononi kibongo bongo gari bei chee ni mwanzo wa mwaka na mwisho wa mwaka. Maana purukushani za xmass, mwaka mpya na ada za shule huwafanya watu kuchizika na kuuza uza tu chuma kali bei chee! Gari zangu zote nimenunua nyakati hizo.
Vipi ulipata gari kali kwa bei nzuri maana wadau wanasema gari za mkononi hapa bongo risk ya kupigwa ni kubwa, gari mbovu inakufia mkononiHata gari za mkononi kibongo bongo gari bei chee ni mwanzo wa mwaka na mwisho wa mwaka. Maana purukushani za xmass, mwaka mpya na ada za shule huwafanya watu kuchizika na kuuza uza tu chuma kali bei chee! Gari zangu zote nimenunua nyakati hizo...
Nilipunguzia Dola 500Vipi ulipunguziwa dau zuri mkuu?
Hizo zama za kuwatumia watu kuagiza zimepitwa na wakati hata kama mtu hajui kutumia mitandao bado kampuni kama autocom, trust na mengine mengi tu yana ofisi zao Tanzania so ni mhitaji gari tu kwenda achague gari aitakayo anegotiate afanye malipo as kwa terms walizokubaliana then after 1 month gari hii hapa.Usiagize gari hasa kama n mara ya kwanza n bora uwape watu wenye uzoefu wakuagizie wewe ukafate,ila ukisema uagize wewe kama wewe nadhani sio Mbaya ukijifunza kitu kwa utakachokutana nacho.
Hapo sasa umekanusha nini na kushauri nini? mimi najua unatoa solution ya namna gani aagize gari mwenyewe kumbe upo mule mule aende akaagiziwe.Hizo zama za kuwatumia watu kuagiza zimepitwa na wakati hata kama mtu hajui kutumia mitandao bado kampuni kama autocom, trust na mengine mengi tu yana ofisi zao Tanzania so ni mhitaji gari tu kwenda achague gari aitakayo anegotiate afanye malipo as kwa terms walizokubaliana then after 1 month gari hii hapa.
Kumbuka nimetoa namna mbili ya kwanza ni kama yupo conversant na mitandao anaagiza tu mwenyewe ya pili kama hayupo conversant na mitandao ndo sasa anaenda tawi la kampuni husika ya japani inayoheshimika lilopo Tanzania na nimetaja kampuni kwa mfano trust ni kampuni ya wajapani na hawana longolongo hata matawi yao yanaeleweka watamsaidia. Ninachosema kimepitwa na wakati ni eti kwa mfano uende kwa madalali wa kibongo waliojaa magomeni, mwenge, dodoma ambao hawana physical stock yoyote ya gari japani (ila wana stock za picha za magari kama zote kwenye vilaptop vyao) then wao ndo waanze process za kumuagizia mtu hii hapana maana kwanza kampuni nyingi hizi hazina uwazi, pili lazima wapige sana vya juu mwishowe mnunuzi ataishia kununua gari bei juu, mileage imeenda mnooo ingawa picha ataonyeshwa yenye mileage ndogo, ataonyeshwa gari ya grade ya chini ilihali yeye ataambiwa ni grade ya kwanza au pili. Vile vile wakiona mteja kolo hata kodi na tozo za bandarini watampa amount kubwa na watataka wakalipie wenyewe ila asijue nini kinaendelea.Hapo sasa umekanusha nini na kushauri nini? mimi najua unatoa solution ya namna gani aagize gari mwenyewe kumbe upo mule mule aende akaagiziwe.
mshauri aagize mwenyewe yeye kama yeye,maana ushasema zama za kuwatumia watu zimepitwa na wakati.
Haiwezekani kutapeliwa chamsingi angalia tu kampuni unayotaka kuagiza owe list ya kampuni za wauzaji wa magari used kwenye website ya chama Chao, hata hao mnaoona waaminifu wanaogopa hiki chama ukilalamika TU umetapeliwa utakuwa refunded na wahusika wanapigwa fine yakufa mtu sema waagizaji wengi hawalijui hili.Jamani msiogope
Wajapan wako vizuri sana
Na ni vigumu sana kutapeliwa
Make sure una active whatsapp no+e-mail
That’ll means of communications kwa hawa jamaa
Na namba yao ya whatsapp iko verified kabisa na mjapan on every step lazima aku-consult kwa email na whatsapp.sijui lakini kwanini watu wanatapeliwa.
Ila kiukweli my experience was perfect [emoji1417]
Kumbuka wabongo wengi huuza gari kwa kuwa limemshasumbua yaani shipa ni mara chache ununue gari kwa mbongo halafu ipo katika hali nzuri. Kingine kumbuka kwa mfano unanunua gari kwa mtu ambaye ana kipato cha kuungaunga chances ni kubwa kuwa hilo gari lake litakuwa halikuwahi kuwa na service history nzuri, na kuna gari ukisikia la mtu wa jamii fulani/hadhi fulani na anaishi mahali fulani unajua at least utapata kitu chenye uafadhali. Ila ukibahatika sometime kuna gari nzuri waweza pata halafu bei chee.Vipi ulipata gari kali kwa bei nzuri maana wadau wanasema gari za mkononi hapa bongo risk ya kupigwa ni kubwa, gari mbovu inakufia mkononi
Haiwezekani kutapeliwa chamsingi angalia tu kampuni unayotaka kuagiza owe list ya kampuni za wauzaji wa magari used kwenye website ya chama Chao, hata hao mnaoona waaminifu wanaogopa hiki chama ukilalamika TU umetapeliwa utakuwa refunded na wahusika wanapigwa fine yakufa mtu sema waagizaji wengi hawalijui hili.
Nimekuwa nikiagiza kupitia kampuni ndogo yaani unabembelezwa mpaka upokee gari lako na ukishalipokea unasumbuliwa uwatumie picha ya testimonies ili waweke kwenye website yao
Fafanua 3.5 na hiyo Grade R Mkuu. Huenda tunapagawa na Bei kumbe tunabeba skrepaJapan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
Mkuu kwa ushauri mzuri agiza Gari mwenyew tu tena ni rahisi haina complications Sana Tumia hata siku 2 kusearch mtandaoni mfano mm niliagiza Toyota ist Japan nikawa napitia Karibu magari 40 then nkachagua Moja zuri ambalo limo ndani ya uwezo wangu nikamcontact seller moja kwa Moja akanitumia bei kwa profoma nikaomba na discount mwenyew nikapewa nikalipia kwa kutumia NMB bank (nilienda physically bank kabsa) then Gari ikatumwa gari ikikaribia TZ hua wanatuma documents za Gari kwa ajili ya Ku clear bandarini then utamkabidhi agent unayemuamini atakutolea Gari Yako so haina haja yakutumia third party kilak2 kiko wazi Kama Una swali ulizia Hapa Hapa Ili wengne nao wapate elimu wasiwe waoga, hizi showroom wamezidisha janja janja Sana na kutuuzia Gari zilizoshushwa kmWakuu poleni na majukumu, leo niliingia mtandaoni kidogo kucheki magari ambapo nimepitia kampuni mbalimbali za uuzaji magari lakini katika kampuni zote kuna kampuni moja "Autocom Japan" naona bei zao ziko cheap sana hadi nikashangaa labda magari yao yana shida maana variation na kampuni nyingine ni kubwa
Hali kadhalika nikaingia kwenye kikokotoo cha TRA nione hadi gari inafika bongo itacost kiasi gani then nikalinganisha na price kwenye show room zetu au kuagiza kupitia makampuni ya uagizaji kitu nilichokigundua ukiagiza mwenyewe price inashuka sana kuna gari unapata different ya milioni 5 nikasema hii hapana labda nakosea ngoja niwaulize wadau wa mandinga kuona kama ni kweli different iko hivyo.
Pia nimegundua kama gari ni ya miaka ya zamani let say 2010 kodi yake TRA ni kubwa kuliko gari ya 2011 au 2012.
Lakini kama ni kweli why watu hawaagizi wenyewe wana opt kununua show room au kuagiza kupitia kampuni wakati price variations ni kubwa coz kama unaweza ku save not less than 3M why usiagize? Na bado hapo hujafanya bergaining na kampuni husika
Soon nitaagiza gari yangu pendwa "Subaru Forester SH5" maana kwa bajeti niliyokuwa nayo niliona kama sitoboi lakini baada ya leo kujipa muda wa kupitia kampuni mbalimbali za magari na kikokotoo nimeona nipo ndani ya bajeti
Nawasilisha.
Asante mkuu umeeleza vizuri sana nimeelewa ngoja nifanye mchakatoMkuu kwa ushauri mzuri agiza Gari mwenyew tu tena ni rahisi haina complications Sana Tumia hata siku 2 kusearch mtandaoni mfano mm niliagiza Toyota ist Japan nikawa napitia Karibu magari 40 then nkachagua Moja zuri ambalo limo ndani ya uwezo wangu nikamcontact seller moja kwa Moja akanitumia bei kwa profoma nikaomba na discount mwenyew nikapewa nikalipia kwa kutumia NMB bank (nilienda physically bank kabsa) then Gari ikatumwa gari ikikaribia TZ hua wanatuma documents za Gari kwa ajili ya Ku clear bandarini then utamkabidhi agent unayemuamini atakutolea Gari Yako so haina haja yakutumia third party kilak2 kiko wazi Kama Una swali ulizia Hapa Hapa Ili wengne nao wapate elimu wasiwe waoga, hizi showroom wamezidisha janja janja Sana na kutuuzia Gari zilizoshushwa km
Hizi gari nzuri za bei chee utazipata endapo utakutana moja kwa moja na mmiliki anayeiuza tofauti na hapo ikipitia kwa madalali lazima waipandilie bei issue inakuja ni connection kati yako na mmiliki utajuaje kama kuna gari inauzwa bila dalali ni Bahati sana ila wapo wamiliki wanaouza magari mazuri kwa bei cheap sana unakuta kuna mtu yeye anabadilisha gari kila mwakaKumbuka wabongo wengi huuza gari kwa kuwa limemshasumbua yaani shipa ni mara chache ununue gari kwa mbongo halafu ipo katika hali nzuri. Kingine kumbuka kwa mfano unanunua gari kwa mtu ambaye ana kipato cha kuungaunga chances ni kubwa kuwa hilo gari lake litakuwa halikuwahi kuwa na service history nzuri, na kuna gari ukisikia la mtu wa jamii fulani/hadhi fulani na anaishi mahali fulani unajua at least utapata kitu chenye uafadhali. Ila ukibahatika sometime kuna gari nzuri waweza pata halafu bei chee.
My friend alienda Beforward. Mimi nilienda Enhance Auto.Ilikuwa ni kampuni gani mkuu uliyowaelekeza?