Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Hi jamani,

Hivi kwa Sasa bei za nyanya dar ,,Arusha,,moro ..Mwanza na Dodoma ni sh ngapi Kwa create?

Na je gunia la vitunguu ni sh ngapi?
 
Back
Top Bottom