Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
-
- #301
Jamaa mwizi Inchi 32 Moro unapata kwa 350,000/-Duh!!! Wenzio walishashusha bei za TV kitambo sana. We uko juu sana
Mara nyingi zinashuka,Karibu unahitaji tv ipi?Hivi tv bei hua zinapanda au zinashuka kadiro muds unavyoenda?
Azisha uzi uuzee mkuuJamaa mwizi Inchi 32 Moro unapata kwa 350,000/-
Pole kwa unayoyapitiaNasemaje jamaa mwizi Inchi 32 Smart 350,000/- Moro
Sasa mwizi kivipi? Wewe moro unanunua 350,000,, yeye Dar anauza chini ya hiyo bei. Sasa kakuibia vipi hapoNasemaje jamaa mwizi Inchi 32 Smart 350,000/- Moro
Huu karibu mwaka sasa fungu nalotenga la tv likitimia tu nabadili mawazoMara nyingi zinashuka,Karibu unahitaji tv ipi?
Ukikaa sawa tupitie kariakoo hapaHuu karibu mwaka sasa fungu nalotenga la tv likitimia tu nabadili mawazo
Hisense smart 32 inches anakwiba 30,000/- zaidiSasa mwizi kivipi? Wewe moro unanunua 350,000,, yeye Dar anauza chini ya hiyo bei. Sasa kakuibia vipi hapo
Hivi hyo magic remote ndio ina nn zaidi,naomba unitoe ushambaWazee wa mabanda umiza ligi zinarudi
Chukueni mitambo hiyo
ALITOP BEI YA TV*
24 DOUBLE=140,000/=
32 FRAMLLS=210,000/=
32 smart =235,000/=
40 smart =370,000/=
43 smart=410,000/=
50 smart 4k=650,000
50 magic rimote=700,000/
55 smart 4k=730,000/=
55 magic rimote=770,000/
65 magic rimote = 1,020,000
Warranty 1 year
Ukiagiza moja usafirishaji wake utaambiwa laki 7,sasa si ni yale yale tu,ukiagizia inbulk ndio utapata unafuuAgiza china hizi akaweka Bei karibia mara Tano na Bei ya china. Wabongo inabidi wajifunze sijui enzi hizo kwenda china ilionekana mbinguni Fulani saivi mambo yamerahishwa mno, yaani watu ni wezi kiasili. Mfuko wa sukari unachukulia 125k unauza 127 alfu mbili inatosha , ukiuza mifuko yako mia ama hamsini Maisha yanaenda.
Mtu anachukulia kitu china 20 anakuja kukiuza 4000 anakuambia ni gharama zimeongezeka. Wachina wakiweka bidhaa zao cheap wanakuja kulia kuwa wanaharibu soko. Wachina hata tenda za ujenzi dunia nzima akazishika. Ilibidi hata uongozi mchina apewee tu
Sasa elfu 30 ndiyo kaiba? Bei kaamua yeye, asipouza ni yeye. Mteja ataamua anunue au aende moro akanunue ya 350,000 alafu arudi DarHisense smart 32 inches anakwiba 30,000/- zaidi
Ni smart remote mkuu,Hivi hyo magic remote ndio ina nn zaidi,naomba unitoe ushamba