Bei za Viingilio Real Madrid vs Bayern UEFA Nusu Fainali

Mwanangu aisee, wazungu noma sana, zaman wakati naanza kuipenda basket sasa nkiwa naangalia nlikuwa naona zile front row seats mbona zimejaa kina Jay na famous people ikabid nichek tiketi aloooh Yan NBA regular season, the average courtside seat is around $2,000. Hatari sana masta
 
Kudadeki😊
 
Naomba tiketi saba za VIP kwa ajili yangu na familia tafadhali
 
Hiyo Madrid haijapata kiongozi mwenye fadhila Kwa mashabiki zake kama Hersi.

Au tunaweza kusema kiongozi wa juu wa Madrid ni bahili kama MO asiyeweza kulipia tickets mashabiki wa Club yake anayoiongoza.

Hersi Kwa mapenzi yake Kwa mashabiki kwenye mechi kama hiyo angeifanya iwe free.

Na hivyo ndivyo Clubs kubwa zinavyo operates.
Hela ndogo hyo Kwa ukubwa wa hyo game
 
Kiingilio cha alianz arena wakamaria wengi kumbe tunakimudu!
Ni vile tu sayansi yetu asilia ya usafiri wa anga...(Ungo)Bado iko kwenye majaribio!
Iko siku tutaweza kuingia.
 
Hiyo Madrid haijapata kiongozi mwenye fadhila Kwa mashabiki zake kama Hersi.

Au tunaweza kusema kiongozi wa juu wa Madrid ni bahili kama MO asiyeweza kulipia tickets mashabiki wa Club yake anayoiongoza.

Hersi Kwa mapenzi yake Kwa mashabiki kwenye mechi kama hiyo angeifanya iwe free.

Na hivyo ndivyo Clubs kubwa zinavyo operates.
hiyo bei ya kawaida kabisa kwa timu kubwa za ulaya
 
Back
Top Bottom