Bei za Viingilio Real Madrid vs Bayern UEFA Nusu Fainali

Mwanangu aisee, wazungu noma sana, zaman wakati naanza kuipenda basket sasa nkiwa naangalia nlikuwa naona zile front row seats mbona zimejaa kina Jay na famous people ikabid nichek tiketi aloooh Yan NBA regular season, the average courtside seat is around $2,000. Hatari sana masta
 
Kudadeki😊
 
Naomba tiketi saba za VIP kwa ajili yangu na familia tafadhali
 
Hela ndogo hyo Kwa ukubwa wa hyo game
 
Kiingilio cha alianz arena wakamaria wengi kumbe tunakimudu!
Ni vile tu sayansi yetu asilia ya usafiri wa anga...(Ungo)Bado iko kwenye majaribio!
Iko siku tutaweza kuingia.
 
hiyo bei ya kawaida kabisa kwa timu kubwa za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…