Bei za ving'amuzi vya AZAM. Je, ni kukomoa Wananchi au?

Bei za ving'amuzi vya AZAM. Je, ni kukomoa Wananchi au?

Joined
Aug 4, 2011
Posts
97
Reaction score
108
Nimekuwa nikifatilia bei za vingamuzi mbalimbali hapa nchini nimegundua Azam ni moja ya vingamuzi vinavyouzwa kwa bei ya juu kabisa ukilinanisha na watoa huduma wengine nchini.

Nimejiuliza maswali mengi kwa nini bei zao ziko juu zaidi mpaka hadi sasa sijapata jibu la uhakikia.

images (1).jpeg


Wananchi wanaumizwa sana na bei hizi ambazo hazilengi kumsaidia bali kumuumiza.

Ukiangalia kingamuzi kilichozinduliwa jana kinachotumia Antenna kitauzwa 96,000 pamoja na gharama za kufunga na utalazimika kununua bando ya 12500 unapofungiwa. Star Times kingamuzi cha Antenna 38,000 tu.

SAIDIENI WANANCHI NA SIO KUWAKOMOA
 
Biashara..na hakuna aliyelazimishwa kununua..
 
Tafuta pesa upate huduma nzuri na za uhakika.
Azam ,DSV n,k
ving'amuzi vya bei nafuu vipo,achana na ving'amuzi vya gharama kubwa kama uchumi wako ni mdogo kama mimi.
 
Back
Top Bottom