B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 May 2, 2023 Thread starter #161 eliakeem said: Usikariri mambo, maandamano siyo njia pekee ya kudai haki. Click to expand... Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine.
eliakeem said: Usikariri mambo, maandamano siyo njia pekee ya kudai haki. Click to expand... Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine.
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 May 2, 2023 #162 brazaj said: Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine. Click to expand... Ni kweli napaswa kuyaheshimu, lakini kuyapinga mawazo nisiyokubaliana nayo, haimaanishi kuwa siyaheshimu.
brazaj said: Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine. Click to expand... Ni kweli napaswa kuyaheshimu, lakini kuyapinga mawazo nisiyokubaliana nayo, haimaanishi kuwa siyaheshimu.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 May 2, 2023 Thread starter #163 eliakeem said: Ni kweli napaswa kuyaheshimu, lakini kuyapinga mawazo nisiyokubaliana nayo, haimaanishi kuwa siyaheshimu. Click to expand... Maridadi kabisa. Kwa kesi hiyo basi lolote unalosema juu yangu au yetu tusiokubaliana nawe au na nyie basi utambue kuwa lina apply vivyo hivyo kwako au kwenu. Nilichofanya mkuu ni "return to sender" tu. Si pungufu si zaidi. Au hukupenda kuipokea kama ulivyoituma?
eliakeem said: Ni kweli napaswa kuyaheshimu, lakini kuyapinga mawazo nisiyokubaliana nayo, haimaanishi kuwa siyaheshimu. Click to expand... Maridadi kabisa. Kwa kesi hiyo basi lolote unalosema juu yangu au yetu tusiokubaliana nawe au na nyie basi utambue kuwa lina apply vivyo hivyo kwako au kwenu. Nilichofanya mkuu ni "return to sender" tu. Si pungufu si zaidi. Au hukupenda kuipokea kama ulivyoituma?