micind
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 377
- 980
Habari zenu wadau wa ujenzi.
Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani ni sh ngapi? Na pia ni maeneo Gani mazuri zaidi kwa kuweka makazi.
Nitashukuru sana nikipata michango yenu kabla madalali hawajanipiga na kitu kizito.