Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Habari wadau,

Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.

Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba imefika 26000/= Tsh. Vipi Dar, Moshi, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Katavi, Morogoro na kwingineko?

Je sehemu ulipo bei zikoje?
 
Back
Top Bottom