Mwasapile JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 214 Reaction score 448 Sep 14, 2020 #1 Habari wana JF! Naomba tujuzane kuhusu bei za nafaka zinazotumika kufugia kuku na wanyama wengine kama; Unga wa sangara, unga wa dagaa, mashudu ya alizeti, wheat pollard, mashudu ya nazi, soya kavu na ya mafuta, pumba n.k
Habari wana JF! Naomba tujuzane kuhusu bei za nafaka zinazotumika kufugia kuku na wanyama wengine kama; Unga wa sangara, unga wa dagaa, mashudu ya alizeti, wheat pollard, mashudu ya nazi, soya kavu na ya mafuta, pumba n.k
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,332 Sep 14, 2020 #2 Bei zinatofautiana kila mkoa. Mimi nitakupa za Dar zinaweza fanana na Pwani. 1. Mashudu ya alizeti 1Kg Tsh 600 2. Uduvi 1Kg Tsh 2,000 3. Damu 1Kg Tsh 1,200 4. Chokaa 1Kg Tsh 200 5. Unga wa mifupa 1Kg Tsh 500 6. Paraza za mahindi 1Kg Tsh 800 7. Pumba za mahindi debe 5 Tsh 15,000 8. Gunia pumba laini za mpunga Tsh 10,000
Bei zinatofautiana kila mkoa. Mimi nitakupa za Dar zinaweza fanana na Pwani. 1. Mashudu ya alizeti 1Kg Tsh 600 2. Uduvi 1Kg Tsh 2,000 3. Damu 1Kg Tsh 1,200 4. Chokaa 1Kg Tsh 200 5. Unga wa mifupa 1Kg Tsh 500 6. Paraza za mahindi 1Kg Tsh 800 7. Pumba za mahindi debe 5 Tsh 15,000 8. Gunia pumba laini za mpunga Tsh 10,000
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,332 Nov 1, 2020 #3 Cash Money Forever said: Vinapatikana wapi kwa dar? Click to expand... Mimi nanunua Mlandizi maana kule ndio karibu na shamba langu. Ila hata mjini Dar bei zina range humo humo
Cash Money Forever said: Vinapatikana wapi kwa dar? Click to expand... Mimi nanunua Mlandizi maana kule ndio karibu na shamba langu. Ila hata mjini Dar bei zina range humo humo
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,332 Nov 1, 2020 #4 Cash Money Forever said: Dar una kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku? Click to expand... Mimi sina kiwanda. Natengeneza chakula kienyeji kwa ajili ya kuku wangu.
Cash Money Forever said: Dar una kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku? Click to expand... Mimi sina kiwanda. Natengeneza chakula kienyeji kwa ajili ya kuku wangu.