Bei za vyakula vya mifugo

Bei za vyakula vya mifugo

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Habari wana JF!

Naomba tujuzane kuhusu bei za nafaka zinazotumika kufugia kuku na wanyama wengine kama; Unga wa sangara, unga wa dagaa, mashudu ya alizeti, wheat pollard, mashudu ya nazi, soya kavu na ya mafuta, pumba n.k
 
Bei zinatofautiana kila mkoa. Mimi nitakupa za Dar zinaweza fanana na Pwani.

1. Mashudu ya alizeti 1Kg Tsh 600
2. Uduvi 1Kg Tsh 2,000
3. Damu 1Kg Tsh 1,200
4. Chokaa 1Kg Tsh 200
5. Unga wa mifupa 1Kg Tsh 500
6. Paraza za mahindi 1Kg Tsh 800
7. Pumba za mahindi debe 5 Tsh 15,000
8. Gunia pumba laini za mpunga Tsh 10,000
 
Back
Top Bottom