Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Upo dsm ?Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
YesUpo dsm ?
Mafuta ya aina gani? Natumai alizeti haiingii hapa.Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Bado unakula kwa dada yako ukikua utajua hivi vyote.Labda ana special discount kwa Mangi, kaa nae chini muulize vizuri, utakuja kunishkuru
Unataka kuvunja ndoa eeeLabda ana special discount kwa Mangi, kaa nae chini muulize vizuri, utakuja kunishkuru
Wapi huko tuje maana sie bado tunanua mchele 3500Lita Tano mafuta ya alizeti ni 17000, na mchele kilo ni 1500
Hata hayo ya alizeti yaneshuka pia nakumbuka miezi miwili iliyopita nilinunua 5 ltr kwa tsh. 37000Mafuta ya aina gani? Natumai alizeti haiingii hapa.
Kuhusu mchele nahisi washaanza kuvuna Huko Mji kasoro bahari.
Avunje ndoa gani huyo analala sebuleni kwa dada yake, atajua wapi bezi za vyakula.Unataka kuvunja ndoa eee
Uyole mpenzWapi huko tuje maana sie bado tunanua mchele 3500
Haupo sahihi mi hata silagiBado unakula kwa dada yako ukikua utajua hivi vyote.
ukiona wewe unacheka mwenzako analia kwa upande wa mazao anaelia mkulima 🤣Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Kabisa atupe hilo chimboWapi huko tuje maana sie bado tunanua mchele 3500
Hapana nmetilia mashaka hiyo special offer kapewa yeye tuUnataka kuvunja ndoa eee
Siyo kweliukiona wewe unacheka mwenzako analia kwa upande wa mazao anaelia mkulima 🤣
Wapi huko?Hata hayo ya alizeti yaneshuka pia nakumbuka miezi miwili iliyopita nilinunua 5 ltr kwa tsh. 37000