Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu.

Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu zinaweza kuwa na mabadiliko mengi ya kijeni yenye manufaa na hivyo kuzalisha mbegu bora.



 
Duh! Halafu tunaambiwa hawa wanazalisha vitu fake, na Wana elimu fake! Pro West wajitazaame...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…