*Beijing Olympics 2008*

HIvi ni Television gani (local Channel) inaonyesha michezo ya Olympics kwa Hapo Tanzania. Manake nimekaa hapo sikuwahi kuona local television inayoonyesha michezo ya Olympics, au ni mpaka ufunge DSTV na GTV?
 
...nakubali matokeo, kwani tutake tusitake hawa ndio the best atheletes Tanzania could afford to send to 2008 olympic games!...karata ya mwisho ni Samson Ramadhan kwenye marathon jumapili!

 


WORLD RECORD ... Usain Bolt ran the 200m in 19.30 seconds

 

Unbelievable!!!!!

Our country is run by idiots and yet we wonder why we fail at everything we do.
 
SECRETS BEHIND JAMAICA SUCCESS IN BEIJING 2008

Nimejaribu kupata website za Kitanzania kuona kama kweli kulikuwa na shauku na uzalendo katika kujiandaa na kushiriki michezo hiyo lakini nilizobahatika kuziona hazikuonesha umakini wala kujituma kokote kwa Watanzania wanaohusika kuona kuwa tunafanya vizuri huko Beijing. Ilikuwa kama vile watu wanalazimishwa kufanya walichokuwa wakikifanya na hakuna aliyeonesha kuwa na wito hata chembe. Kwa nini?


Kwa mfano website hii inatamba kwamba ni ya Tanzania Olympic Committee lakini sidhani viongozi wa TOC wana habari nayo. Ndiyo matunda ya kukosekana kwenye mtandao hayo.

http://www.olympic.org/uk/games/index_uk.asp

Kwa hiyo pengine Mchina au Mzungu anajifanyia biashara yake kwa ulaini tu. Inaelekea ni Waingereza hawa -jana wakoloni, leo mabwana na kesho watawala wapya au sio?

Website ya serikali ndio usiseme kabisa imenuna utadhani DUBU. Hakuna lolote kuhusu Miss Olympia Beijing lakini nadhani waliaichia kazi TBC sio ndio tena shirika huru la kupokonya vyombo huru matangazo ya kibiashara! Na wenye vyombo vya habari waliokwenda bungeni nadhani wanajutia uamuzi wao.

Kinachotamba hadi leo ni hotuba za Bajeti. Wacha wee, kwa mapokeo tu ndio wenyewe, uchicheme lakini....?

See and read here:

http://www.gov.jm/

http://www.jamolympic.org/

http://www.jamolympic.org/athletes/index.aspx

http://sportsjamaica.com/

http://www.jis.gov.jm/sports/index.asp
 
Je, kuna mawazo yoyote kuhusu jinsi Tanzania inavyoweza kujipanga ili mwaka 2012 historia isijirudie?
 
Beijing 2008 olympics itakumbukwa kwa jina moja tuu. Usain bolt mjamaica aliyeweka rekodi za dunia ktk mita 100 na 200 na kuchukua gold ktk mita 100 na 200. Hakuna yoyote aliyefanya kama alivyofanya yeye beijing katika athletics. Ni binadamu mwenye kasi zaidi kupita binadamu wote duniani.jamaa performance yake sio ya mchezo,ni genius na super powerfull human being.
Tunamfananisha na pele au maradona ktk football.
Kizuri zaidi alichonifurahisha kawa shinda wamarekani taifa lenye utajiri ,nguvu na teknolojia.
Teknologia ya wamarekani inaweza kuchangia mtu akashinda mashindano.
Mfano muogeleaji michael phelps alivyoshinda medali 8 za gold ktk kuogelea .nasa kampuni ya kimarekani ilitengeneza nguo maalum zinazomfanya phelps ateleze kwa mwendo kasi wa hali ya juu kuliko zamani katika swmming pool na hivyo kuwashinda waogeleaji wa mataifa mengine yaliyo chini kiteknologia,
lakini wamemshindwa katika athletics!!
 
Je, kuna mawazo yoyote kuhusu jinsi Tanzania inavyoweza kujipanga ili mwaka 2012 historia isijirudie?

Tanzania tunao watu wenye vipaji vingi sana(hasa vijijini),,,ni kiasi cha TOC kwenda vijijini na kukusanya watu wenye vipaji kisha kuwafanyia maandalizi kwa ajili ya 2012 Olympic games,,,,mfano Wahadzabe ni wataalamu sana wa kurusha mishale(wanatisha),,,,Wasukuma ni wazuri sana kwa baiskeli,,,,Wamasai wanatisaha katika urushaji wa mikuki,,,,,,kuna Wakisi na Wamanda wa Ludewa hawa jamaa ni mwisho kwa kuogelea,,,,,,,,kua Wanyaturu,Wambulu,Wabarbaig na Wairak wao ni wazuri sana katika Riadha.....Kimsingi vipaji vipo vngi sana huko vijijini ni kiasi cha TOC kwenda vijijini na kufanya scouting ya hawa watu na kuwafundisha njia za kisasa za kurusha mishale,kutupa mikuki,kuogelea,kuendesha baiskeli,Riadha pamoja na michezo mingi tu ambayo Tanzania kuna watu wana vipaji nayo ila wamekosa nafasi ya kuvionesha
 
Kuna wakimbiaji 98 wakiwamo Wabongo wawili. Hopefully watatutoa aibu ya kutoka kapa.
 
...mpaka sasa 40kms gone! ...Wanjiru toka Kenya anaongoza, uwanja ndio huoooo anakaribia kuingia-kumalizia 1000m za mwisho,

Mmorocco anashika namba mbili, na Mu ethiopia namba tatu. Watzanzania hata kwenye top ten hawamo ingawa namba moja mpaka saba wote ni waafrika. Kaaaaaaaaazi kweli kweli, utadhani sio sisi Tanzania tulowatoa kina Shahanga, Ikangaa na ukoo wa Naali...

anyway, Olympic ndio inamalizika, so far nilokuwa nawashabikia Tirenush Dibaba na Kanenisa Bekele hawakuniangusha, wote wameshinda Gold kwenye 5,000m na 10,000.

Dah Kama ndoto vile, 2008 Olympic ndio bye bye, mw'mungu akituweka hai mpaka 2012 tutakujaona manyago ya Olympic, Uingereza.
 
...mpaka sasa 40kms gone! ...Wanjiru toka Kenya anaongoza, Mmorocco anashika namba mbili, na Mu ethiopia namba tatu. Watanzania hata kwenye top ten hawamo ingawa namba moja mpaka saba wote ni waafrika. Kaaaaaaaaazi kweli kweli, utadhani sio sisi Tanzania tulowatoa kina Shahanga, Ikangaa na ukoo wa Naali...

anyway, Olympic ndio inamalizika, so far nilokuwa nawashabikia Tirenush Dibaba na Kanenisa Bekele hawakuniangusha, wote wameshinda Gold kwenye 5,000m na 10,000.

Dah Kama ndoto vile, 2008 Olympic ndio bye bye, mw'mungu akituweka hai mpaka 2012 tutakujaona manyago ya Olympic, Uingereza.
 
.......aibu aibu ..mytanzania pekee anayemaliza ni SAMOSON RAMADHANI ..tena nafasi ya 55..AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUU...TIMU ILIONGOZWA NA MKUU WA MSAFARA WAZIRI MKUCHIKA ..aibuu..kenya pamoja na mamedali kibao..mkuu wa msafara alikuwa mtaalamu kwenye wizara na chama chao cha riadha...tuache uroho wa safari...zisizokuwa na msingi..
 

...hapa natabiri mawili kutokea;

a) ...itaundwa kamati ya bunge kuchunguza kwanini Tanzania imefanya vibaya mno kwenye michezo ya olimpiki, 2008

au

b)...itakuwa funika kombe mwanaharamu apite, kwa kisingizio mw'mungu hakupenda, huenda 2012 tukapeleka timu nzuri zaidi, mw'mungu akipenda.

...upuuzi mtupu. watu wanalojua ni kupelekana mahakamani kugombea madaraka tu ya kuongoza vyama na vilabu, kutafuta ulaji badala ya kubuni mbinu mpya na kuleta maendeleo kwa michezo na wanamichezo wetu.

2012 hadithi itakuwa hii hii, kupeleka washiriki sio wasindani!
 


Closing ceremony. More snapshots underway...
 
Kenya must be proud of its son! Natamani kuwa Mkenya leo hii 🙁
 
Kenya must be proud of its son! Natamani kuwa Mkenya leo hii 🙁

Olympic Flag now handed to London....
 
Je Mliona hii seketa?





South Korea's Cha Dong-min took gold in the men's +80kg taekwondo, but former champion Angel Valodia Matos was banned for life for attacking the referee.

Cha beat Greece's Alexandros Nikolaidis in the final, while Kazakhstan's Arman Chilmanov and Nigeria's Chika Yagazie Chukwunerije took the bronze medals.

But the biggest drama of the day came with Matos' response after being disqualified against Chilmanov.

Matos shoved the referee and kicked him in the head in a furious reaction.

The Cuban took gold in the 2000 Olympics, but he did not take kindly to being disqualified halfway through the bout for taking too long to return to action after an injury.

Matos was leading 3-2, when he fell to the mat after being hit by his opponent.

Fighters have a maximum of one minute's break for injury, and the referee removed him from the competition as soon as the time elapsed.

Matos pushed and kicked the referee, drawing blood from the mouth, then attacked the Swedish judge before spitting on the floor and being escorted out of the arena.

Both Matos and his coach Leudis Gonzalez have been swiftly handed a lifetime ban from all World Taekwondo Federation (WTF) championships, subject to confirmation by the International Olympic Committee.
 
Finally, another magnificent celebrations have come to an end!!





[media]http://www.youtube.com/watch?v=0XbIZqg4v7w[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Yr5ZWYRaAyw[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=KylRobclD4k[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=A2JQ-XOvUes[/media]
All good things come to an end....

[media]http://www.youtube.com/watch?v=_zQCd1D5RLw[/media]



Humanity shall prevail.

SteveD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…