Being a prostitute at 45!

Lenie unakosea wanaume hawatakagi wanawake wenye umri sawa na wao, especially kwenye kujiuza mtu anataka kitu kibichiii..ndio zao hao...lol

Hujapatia. Vijana wengi hupendelea majimama (hasa yaliyowazidi umri) yenye kutoa burdani sampuli zote kwa mbwembwe zote bila hiyana, haya wala “inhibitions” za aina yoyote. Hao ndio huwapatia ile “fantasy world” wanayoisoma kwenye porn.

Ni wazee waliokwishamaliza kila rabsha hapa ulimwenguni ndio hutaka kuchezea vitoto.
 
Duuh [emoji1751]
 
Uko sahihi kabisa linapokuja swala la outing tu ndio vijana Hupenda watu warembo wa same age ila katika inshu ya Kugegedana, Watu wazima haswa wamama ni the best and finest compare tu vitoto, Wamama wengi hawana limit kama ni kukesha nayo unakesha nayo, Vibinti ukitembea kidogo tu wanataka kupumzika
 
Mkuu hao ni wanadanga tu wanatafuta vibopa wawalie hela wanaojiuza official tunawajua sis mabaharia, hawawez fika miaka 20 ndani ya hio Kazi labda sehem nyingine lakin sio apa tz,

bei ni inakua ni cheap sana namjini kila sku kunaingia vitoto vipya kwenye hio field nahao wanunuaji wenyewe kabisa nitatzo niwale ambao maisha yamekataa hawez kuaford kua kwenye mahusiano sababu yakukwepa garama zakuhudumia akienda kumlipa mtu hio 20k au 30k atakavumtumia sio kitoto.
 
Hata malaya... mwanaume mwenye mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja haitwi malaya. Anaitwa kitombi, kidume, kifaa na mengine mengi ya kusifia ushujaa wa kuwapanga wamama.
What a great way to put it!
 
Unaruhusiwa mkuu, tuna butua butua hivyo hivyo..lol wanasema ndio kujifunza... [emoji23] [emoji3059]
Hii kazi ya kujiuza inafanana na mcheza mpira, masumbwi nk, inategemea umri.
Bila kuwekeza mapema umri utakuumbua
 
Very touching thought,
Sema miundombinu ya kuhakikisha vijana wanakuwa na msingi mzuri ndio hakuna thats why hata program/projects kama dreams huwa zinakufa, in the end aged prostitutes huwa wanakufa kwa stress na magonjwa , hawana watu wa kuwa care na hawawezi mudu msisha tena
 
Jamani Paula wangu, unajua kabisa leo nimesahau dikshenare yangu afu ndo unikomoe kwa kimombo cha Havard university?
Utatafsiri ukirudi nyumbani Asprin.
Ila hapo nimeandika, "nimekukumbuka sana".
 
Mi naona tuanzie hapa,hivi kwanini hii nguvu inayotumika kwenye women empowerment,kutetea haki za wanawake n.k isingehamishiwa kwenye kupinga prostitution kwanza,kitu ambacho ndio chanzo kikuu cha kudhalilika kwa mwanamke na kuonekana kama mwanamke ni kiburudisho na kumshushia hadhi yake...?
 
Na sisi madomo zege tuwe tunaenda kujipooza wapi mkuu?


Hujui tu serikari inapoteza pesa ndefu sana kwenye hii industry.
 
single mothers baadhi yao ndo wanajikita sana kwenye hii michezo kwa maana wanakua hawana official wakutuliza haja zao wao wakikubless basi umetunukiwa tunda

baadhi yao ndo hivyo hujiuza ili kupata pesa
 
Nilikua naongelea maisha in the end ya mwanamke aliyekua anajiuza..nothing serious mkuu

Dada yangu, Mwanamke anaejiuza si lazima asimame barabarani maeneo ya kona baa akitafta Wateja, ukiolewa na mwanaume usiempenda ili tu upewe hela huko nako ni kujiuza pia, ukitafta sugar daddy na sponsor kwenye mahusiano huko ni kujiuza, ukitembea na wababu ili upewe hela huko nako ni kujiuza Rebeca 83
 
umeharibu..tatizo lugha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…