Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Lenie unakosea wanaume hawatakagi wanawake wenye umri sawa na wao, especially kwenye kujiuza mtu anataka kitu kibichiii..ndio zao hao...lol
Hujapatia. Vijana wengi hupendelea majimama (hasa yaliyowazidi umri) yenye kutoa burdani sampuli zote kwa mbwembwe zote bila hiyana, haya wala “inhibitions” za aina yoyote. Hao ndio huwapatia ile “fantasy world” wanayoisoma kwenye porn.
Ni wazee waliokwishamaliza kila rabsha hapa ulimwenguni ndio hutaka kuchezea vitoto.