Being a responsible Father, and being a man generally is not easy and every Father that bounced had a reason trust me!

Being a responsible Father, and being a man generally is not easy and every Father that bounced had a reason trust me!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Unapokua na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti.

Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili .

Unapowatazama watoto wako
Unapoiwaza kesho ya watoto wako.

Uku ukidaiwa bills , ukidaiwa muda wa kukaa na familia , ukidaiwa kuwajibika kikamilifu ili kuhakikisha watoto na familia kiujumla inakuwa salama.

Hapa ukivurugwa unavurugika kikweli kweli


Usimcheke MTU aliyeamua kuikimbia na kukaa mbali na familia yake there's a reason behind.

'Every father that bounced had a reason .'

The sacrifice of father is real sacrifice

Doesn't matter either you raised by a single Mama or not just Appreciate ur father nothing good goes unpaid.

Wanawake hakikisheni mnawatengenezea Sana utulivu wanaume zenu na kuunganisha mahusiano bora kati ya mtoto na baba yake haijalishi huyo baba anahudumia mtoto au Laah!
FB_IMG_17418871160142930.jpg
 
Unapokuwa na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti.

Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili .

Unapowatazama watoto wako
Unapoiwaza kesho ya watoto wako.

Uku ukidaiwa bills , ukidaiwa muda wa kukaa na familia , ukidaiwa kuwajibika kikamilifu ili kuhakikisha watoto na familia kiujumla inakuwa salama.

Hapa ukivurugwa unavurugika kikweli .


Usimcheke MTU aliyeamua kuikimbia na kukaa mbali na familia there's a reason behind.

The sacrifice of father is real sacrife .

Doesn't matter you raised by single Mama or not just Appreciate ur Daddy nothing good going unpaid.View attachment 3295977
Mwanaume yoyote bila uchumi imara family yako itakua mtihani,hakikisha basic things unakamilisha(chakula,malazi&mavazi na hela ya ziada/dharura)
 
Back
Top Bottom