DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mwanaume yoyote bila uchumi imara family yako itakua mtihani,hakikisha basic things unakamilisha(chakula,malazi&mavazi na hela ya ziada/dharura)Unapokuwa na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti.
Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili .
Unapowatazama watoto wako
Unapoiwaza kesho ya watoto wako.
Uku ukidaiwa bills , ukidaiwa muda wa kukaa na familia , ukidaiwa kuwajibika kikamilifu ili kuhakikisha watoto na familia kiujumla inakuwa salama.
Hapa ukivurugwa unavurugika kikweli .
Usimcheke MTU aliyeamua kuikimbia na kukaa mbali na familia there's a reason behind.
The sacrifice of father is real sacrife .
Doesn't matter you raised by single Mama or not just Appreciate ur Daddy nothing good going unpaid.View attachment 3295977
AbsoluteMwanaume yoyote bila uchumi imara family yako itakua mtihani,hakikisha basic things unakamilisha(chakula,malazi&mavazi na hela ya ziada/dharura)
Ila kwa kiasi bangi ni tiba imependekezwa na wanasayansi wamei recommended kama therapeuticKaka hii mambo ili kuimudu ina vishikizo vingi mno, ndio maana sisi wamafia tunakula bia nakuvuta bang,,,,, kwa wingi
Msikimbie Majukumu lo watoto ni baraka