Being english medium primary school teacher!!!

Being english medium primary school teacher!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Wana JF napenda kuuliza wapi au chuo gani watu huenda kusomea ualimu wa english medium primary school?wizara huchagua wanafunzi waliohitimu form 4 with div IV kwenda kwenye vyuo mbalimbali ambao mwisho wake hupata certificate ambapo wanauwezo wa kufundisha shule za kina KANUMBA.na waliomaliza form VI failue huenda kupata diploma in education hufundisha sekondari.Je hawa wa english medium primary hutokea wapi?WASIWASI WANGU NI KUWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI-kina KANUMBA wanafundishwa NA WAALIMU WA CERTIFICATE wakati wale wa ENGLISH MEDIUM wanafundishwa NA WAALIMU WA DIPLOMA kwa level iliyo sawa ya elimu?
 
Back
Top Bottom