Being in Love 😍 vs Being Hyper/ Exited/Happy πŸ˜„

Whom do you love most ...?

  • Lover /Spouse

    Votes: 3 13.6%
  • Mama....

    Votes: 10 45.5%
  • Sibling...

    Votes: 1 4.5%
  • Own child

    Votes: 8 36.4%
  • Side Chic /Mchepuko

    Votes: 2 9.1%

  • Total voters
    22

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari za usiku mteke wapendwa....

Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....

Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....

Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......

I can dance, sing for him and smile endlessly.....πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Yaani am overwhelmed.....

Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....



The loved one....😘



Hyper Kasie.... dancing old school songs ...πŸ˜‰ all night long....πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜

#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....
 
naona mambo sio mabaya
 
Enjoy every moment as if it’s the last day of your life
 
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.
 
Being loved is fate espy... Unaweza kua umejawa upendo wa dhati mwingiii ila ukashindwa kupata wa kumwagia to the fullest. Ila kupenda it's matter of choice

πŸ₯‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…