Being in Love 😍 vs Being Hyper/ Exited/Happy 😄

Being in Love 😍 vs Being Hyper/ Exited/Happy 😄

Whom do you love most ...?

  • Lover /Spouse

    Votes: 3 13.6%
  • Mama....

    Votes: 10 45.5%
  • Sibling...

    Votes: 1 4.5%
  • Own child

    Votes: 8 36.4%
  • Side Chic /Mchepuko

    Votes: 2 9.1%

  • Total voters
    22
Habari za usiku mteke wapendwa....

Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....

Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....

Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......

I can dance, sing for him and smile endlessly.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Yaani am overwhelmed.....

Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....

View attachment 1707761

The loved one....[emoji8]

View attachment 1707762

Hyper Kasie.... dancing old school songs ...[emoji6] all night long....[emoji3059][emoji3059][emoji7]

#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilize
 
Ni bahati sana kupata mtu anayekupenda na kuwa na chemistry zinazoendana, mapenzi yana raha yake. Anyways wengine tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa kujitenga na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
 
Ukitaka compatible partner fuatisha nyota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], yani nyota yako ni lazima iendane na nyingine
 
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.

Aaabeeeeh aaaabeeeeeeeehhh. aaabeeeeeehhhhh..........

Nami nimeitikia mara tatu🎳♟🎯🎯🎯🎳🎳🎳😒🤝😒😒😒😆🎄😆🙃
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.

Aahahahahhahahaaaa

Aaabeeeeehhh

Aaabeeeehhhh
Aaaabeeeeeeeeeeeeehhhhhh

Nami nimeitika mara tatu 😜

Uzuri wake unaujua udhaifu wangu mkubwa, na ukinifika kujizua siwezi kabithaaaaaa......

Najikuta najiachia tuuuu raaaahaaaaaaaaaaa 😅

Imebidi nijiloweke asubuhi ya leo maana hyper ya jana ilikuwa zaidi ya ganja....😆

Umeamkaje..!!?
 
Aaabeeeeh aaaabeeeeeeeehhh. aaabeeeeeehhhhh..........

Nami nimeitikia mara tatu🎳♟🎯🎯🎯🎳🎳🎳😒🤝😒😒😒😆🎄😆🙃

Aahahahahhahahaaaa

Aaabeeeeehhh

Aaabeeeehhhh
Aaaabeeeeeeeeeeeeehhhhhh

Nami nimeitika mara tatu 😜

Uzuri wake unaujua udhaifu wangu mkubwa, na ukinifika kujizua siwezi kabithaaaaaa......

Najikuta najiachia tuuuu raaaahaaaaaaaaaaa 😅

Imebidi nijiloweke asubuhi ya leo maana hyper ya jana ilikuwa zaidi ya ganja....😆

Umeamkaje..!!?

Kasie! Nione ofisini 🙂 Hiki kizazi kinakutegemea sana wewe Kasie kwa msaada, ushauri na hekma. Sasa injini ikiyumba sasa, what else can we do, duuuh!???
 
Kasie kulikoni huko ulipo hadi unakosa maneno emoji zinazidi herufi kwa uzi mzima?
 
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilize

Duuh pole nilikuacha solemba...

Nilikamatiwa ikabidi kifaa nikitupie kwenye pochi niendeleze kuuishi wakati...

Kama ntakuwa sijachelewa, zilipigwa nyingi tuu aina tofauti tofauti such as...

Boogie Woogie wuuuhuuuuu 🥰

Just few to mention, but those were sort of...
 
Ni bahati sana kupata mtu anayekupenda na kuwa na chemistry zinazoendana, mapenzi yana raha yake. Anyways wengine tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa kujitenga na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.

Ni kweli kabisa usemacho kuhusu mapendo...

Hasa mwanamke akipata mwanaume anayempenda..... ni rahaa saaanaaa maana mie kuna vitu viwili tuu kwa mwanaume, vikikubali baasii moyo wote unajaa mahaba aahahahahaha.

Atalishwa Mahaba hadi akinahi na kukimbia mwenyewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama anayempenda hampendi atamlazimisha

Kulazimisha mapenzi ni kuumiza moyo

Na huwezi kuona tabasamu na furaha kwenye mapenzi ya namna hiyo.
 
Duuh pole nilikuacha solemba...

Nilikamatiwa ikabidi kifaa nikitupie kwenye pochi niendeleze kuuishi wakati...

Kama ntakuwa sijachelewa, zilipigwa nyingi tuu aina tofauti tofauti such as...

Boogie Woogie wuuuhuuuuu [emoji3059]

Just few to mention, but those were sort of...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Santeee naona ulizama kwenye dimbwi la mahaba, life is too short for depression kula bata iwezekanavyo, mpende akupendae asiekupenda achana nae
 
Back
Top Bottom