Being in Love 😍 vs Being Hyper/ Exited/Happy πŸ˜„

Whom do you love most ...?

  • Lover /Spouse

    Votes: 3 13.6%
  • Mama....

    Votes: 10 45.5%
  • Sibling...

    Votes: 1 4.5%
  • Own child

    Votes: 8 36.4%
  • Side Chic /Mchepuko

    Votes: 2 9.1%

  • Total voters
    22
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilize
 
Ni bahati sana kupata mtu anayekupenda na kuwa na chemistry zinazoendana, mapenzi yana raha yake. Anyways wengine tuendelee kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka bila kusahau kuvaa barakoa kujitenga na kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
 
Ukitaka compatible partner fuatisha nyota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], yani nyota yako ni lazima iendane na nyingine
 
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.

Aaabeeeeh aaaabeeeeeeeehhh. aaabeeeeeehhhhh..........

Nami nimeitikia mara tatuπŸŽ³β™ŸπŸŽ―πŸŽ―πŸŽ―πŸŽ³πŸŽ³πŸŽ³πŸ˜’πŸ€πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜†πŸŽ„πŸ˜†πŸ™ƒ
Kasie! Kasie!! Kasie!!! Nimekuita mara ^tar-two^ Hizi raha zingine siyo kabisa ujue. You know what I am talking about.

Aahahahahhahahaaaa

Aaabeeeeehhh

Aaabeeeehhhh
Aaaabeeeeeeeeeeeeehhhhhh

Nami nimeitika mara tatu 😜

Uzuri wake unaujua udhaifu wangu mkubwa, na ukinifika kujizua siwezi kabithaaaaaa......

Najikuta najiachia tuuuu raaaahaaaaaaaaaaa πŸ˜…

Imebidi nijiloweke asubuhi ya leo maana hyper ya jana ilikuwa zaidi ya ganja....πŸ˜†

Umeamkaje..!!?
 


Kasie! Nione ofisini πŸ™‚ Hiki kizazi kinakutegemea sana wewe Kasie kwa msaada, ushauri na hekma. Sasa injini ikiyumba sasa, what else can we do, duuuh!???
 
Kasie kulikoni huko ulipo hadi unakosa maneno emoji zinazidi herufi kwa uzi mzima?
 
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilize

Duuh pole nilikuacha solemba...

Nilikamatiwa ikabidi kifaa nikitupie kwenye pochi niendeleze kuuishi wakati...

Kama ntakuwa sijachelewa, zilipigwa nyingi tuu aina tofauti tofauti such as...


Boogie Woogie wuuuhuuuuu πŸ₯°

Just few to mention, but those were sort of...
 

Ni kweli kabisa usemacho kuhusu mapendo...

Hasa mwanamke akipata mwanaume anayempenda..... ni rahaa saaanaaa maana mie kuna vitu viwili tuu kwa mwanaume, vikikubali baasii moyo wote unajaa mahaba aahahahahaha.

Atalishwa Mahaba hadi akinahi na kukimbia mwenyewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama anayempenda hampendi atamlazimisha

Kulazimisha mapenzi ni kuumiza moyo

Na huwezi kuona tabasamu na furaha kwenye mapenzi ya namna hiyo.
 
Ukitaka compatible partner fuatisha nyota [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], yani nyota yako ni lazima iendane na nyingine

Eeehh...! Sikuwa nafahamu hili.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Santeee naona ulizama kwenye dimbwi la mahaba, life is too short for depression kula bata iwezekanavyo, mpende akupendae asiekupenda achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…