Being in Love 😍 vs Being Hyper/ Exited/Happy πŸ˜„

Whom do you love most ...?

  • Lover /Spouse

    Votes: 3 13.6%
  • Mama....

    Votes: 10 45.5%
  • Sibling...

    Votes: 1 4.5%
  • Own child

    Votes: 8 36.4%
  • Side Chic /Mchepuko

    Votes: 2 9.1%

  • Total voters
    22

Mkuu mbona kawaida sana!,sema wake wakoloni waliozaliwa miaka ya 1950 ndio walisababisha tusi enjoy mapenzi
 
Kasie kulikoni huko ulipo hadi unakosa maneno emoji zinazidi herufi kwa uzi mzima?


πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Itakuwa ni mashoki shoki na tende nilizolishwa jana.....

Sukari ilizidi mwilini itakuwa.....
 
Kweli umeamua hata hapa angalia pia.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Santeee naona ulizama kwenye dimbwi la mahaba, life is too short for depression kula bata iwezekanavyo, mpende akupendae asiekupenda achana nae


Ngoja nigeuze kapeloo....

Umenikumbisha mbaliii......

 
And that is why some people choose to love in silence, for in silence They find no rejection.

Ooh nice, it’s a matter of choice.

Alina mie hapa lazima nipige tarumbeta na jaramba kila nipatapo mkunaji nikakunika haswaaa.

Nikiwa kimyaaa ujue chaliii....πŸ˜…
 
Mkuu mbona kawaida sana!,sema wake wakoloni waliozaliwa miaka ya 1950 ndio walisababisha tusi enjoy mapenzi

Mie kawaida kwangu ni miujiza, najikuta tuu nshapayuka aaahahahhahahaaa

Mapenzi bana, hayana adabu kabisa.
 
Ooh nice, it’s a matter of choice.

Alina mie hapa lazima nipige tarumbeta na jaramba kila nipatapo mkunaji nikakunika haswaaa.

Nikiwa kimyaaa ujue chaliii....[emoji28]
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
 
Ongeza option ya mpango wa kando hapo tuone inakuwaje
 
Daah 🀣😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…