Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Baada ya ya moto band kufa, hawa vijana sote tunajua uwezo mkubwa waliokua nao kimuziki huku kila mmoja akiwa na upekee wake kuanzia kuimba mpaka wakiwa stejini.
Kwasasa ni wawili tu ndo ambao wametoa nyimbo rasmi wakiwa nje ya kundi, huku beka akiwa na vibao viwili tu na Aslay zaid ya vinne na kila mtu anajua nini kinaendelea mtaani juu ya hzo nyimbo, kitu knachopelekea kuwa na minong'ono kuwa nani mkali na ataendelea kuitunza heshimu ya kundi kama solo artist kat ya BEKA na ASLAY?
Nikionacho kat ya hawa wawili;-
-Beka ni mkali zaid ya Aslay ila knachombeba Aslay ni ukongwe ukimlinganisha na Beka, vinginevyo huyu Beka ana uwezo mkubwa sana kwa wenye sikio zuri la muziki watakubaliana na mimi.
Ni swala la muda tu, yote yatadhihirika.
Nini mtazamo wako juu ya hawa vijana wawili?
BEKA au ASLAY?