Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

Unajua katika yamoto wakitoka mmoja mmoja lazma kuna watu watafloopy. Sasa aslay fresh, beka fresh. Naamini kati ya maromboso na enock bella mmoja atachemsha au wote wawili kiujumla
 
[emoji3], na Aslay anachoimba kinafanana kuanzia beat mpaka tone..vp lakini, umeiskia SIKINAI?
 
Aslay ni sumu aisee...ananikumbusha enzi zile za Bongo fleva zenye vina na maana....(Kama alivosemaja Afande Sele)..dogo unafurahia rhythm..alaf unapata na ujumbe murua...kama kibao cha muhudumu....alaf akamaliza na te te...

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ni die hard fan
 
Unajua katika yamoto wakitoka mmoja mmoja lazma kuna watu watafloopy. Sasa aslay fresh, beka fresh. Naamini kati ya maromboso na enock bella mmoja atachemsha au wote wawili kiujumla

Ni kweli, hawawez kupenya wote' ila maromboso hata feli labda huyo Enock
 
MBONA MAROMBOSO ALIYESAINIA WCB HAMUMZUNGUMZII YULE NDIO FUNDI KULIKO WOTE MPAKA DAIMOND KAMSAINI LEBO YAKE
 
Back
Top Bottom