Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

[emoji3], na Aslay anachoimba kinafanana kuanzia beat mpaka tone..vp lakini, umeiskia SIKINAI?
Usikute aliyeanzisha huu uzi ni Beka mwenyewe, kiukweli Beka unaweza, wimbo wako wa kwanza ulivyoutoa ulinishangaza maana nilihisi ulikuwa unabebwa na Yamoto kama yule Bella, sema nakushauri ili usonge mbele ufanye muziki wako, epukana kabisa kufanya ligi na Aslay, maana utatengeneza team yaani hata tuliokuwa tunakusapoti utatukosa, maana siwezi nikachagua niwe upande wako halafu nimwache Aslay, kawaida wengi tunachaguaga team ya ushindi, so ukiendekeza ligi na Aslay trust me utapotea, yule dogo anauwezo mkubwa sana sio kushinda tu wewe bali kushinda wasanii wengi wakubwa hivyo nakushauri ukae mbali naye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBONA MAROMBOSO ALIYESAINIA WCB HAMUMZUNGUMZII YULE NDIO FUNDI KULIKO WOTE MPAKA DAIMOND KAMSAINI LEBO YAKE
Kusainiwa na Diamond haimaanishi wewe ndio the best, kwa taarifa yako si Harmonize wala Rayvanny anafikia uwezo wa Aslay. Labda umlinganishe na kakayao Movoko (wa zamani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeleta uzi watu wapige kura halafu unatulazimisha tuwe upande wako...wewe jamaa vipi ?
Level ya Aslay hapa nchini unaweza kuipambanisha na Diamond na Rayvanny tu ! Dogo yuko level nyingine kabisa..nenda YouTube upate majibu

Sawa, ila nlitoa msimamo wang juu yao
 
Usikute aliyeanzisha huu uzi ni Beka mwenyewe, kiukweli Beka unaweza, wimbo wako wa kwanza ulivyoutoa ulinishangaza maana nilihisi ulikuwa unabebwa na Yamoto kama yule Bella, sema nakushauri ili usonge mbele ufanye muziki wako, epukana kabisa kufanya ligi na Aslay, maana utatengeneza team yaani hata tuliokuwa tunakusapoti utatukosa, maana siwezi nikachagua niwe upande wako halafu nimwache Aslay, kawaida wengi tunachaguaga team ya ushindi, so ukiendekeza ligi na Aslay trust me utapotea, yule dogo anauwezo mkubwa sana sio kushinda tu wewe bali kushinda wasanii wengi wakubwa hivyo nakushauri ukae mbali naye!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahah, daah post yako imenchekesha sana' hapana mkuu me cyo Beka ni mdau tu kama wadau wengne wa muziki wa bongo fleva..[emoji3]
 
MBONA MAROMBOSO ALIYESAINIA WCB HAMUMZUNGUMZII YULE NDIO FUNDI KULIKO WOTE MPAKA DAIMOND KAMSAINI LEBO YAKE

Hajatoa rasmi ngoma toka kundi livunjike' so huwez kumjadili kwenye hili' ila he got talent as well
 
Mi naenda na beka aisee tangu akiwa yamoto nilikua naelewa sana verse zake.

Sent From Heaven
 
aslay mkali sana.
beka ana sauti kali tu..
ni sawa na kumshindanisha ruby na nandy...
nandy mkali ,ruby ana sauti.

beka hana ukali wowote zaidi ya sauti.
aslay anawakimbiza mpaka wahenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom