Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

Sijakuelewa,
Hapa nilipoweka Red unasema Bendi imekufa, kule kwenye title unauliza nani wa kuibeba bendi. Sasa bendi iliyokufa inabebwaje??
 
Sijakuelewa,
Hapa nilipoweka Red unasema Bendi imekufa, kule kwenye title unauliza nani wa kuibeba bendi. Sasa bendi iliyokufa inabebwaje??

Soma vzur mkuu, nmeuliza "nan ataendelea kuitunza heshima ya bendi?" yan baada huo mvunjiko nan ataendelea kuipa heshima ya jina la ile band yao kwamba haikua bendi ya kawaida? simply to stand as a symbol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…