Beka Ibrozama afunika kwenye cover wimbo wa Adele "Hello"

Me nyimbo hizi za taratibu zinanikeraa siku hizi, hata sizipendi yani!
Me remix niliyoikubali ni ya Dj Maphorisa wa Uhuru aliyomshirikisha Dj Buckz na Howard...

Isikilizien hapa na nyie
 
mkenya ni mnona!na Joe kafabya kweli ila kwenye chorus anakunja uso ja anakata gogo!
 
Kitendo cha kupanda na kushuka. .kubaki kati na kupanda tena alichokifanya beka ibrozama humo si mchezo. ..salute kwake! ..kama akiweza kupita hivyohivyo kwenye live show atatisha sana
 





KILA MUZIKI UNA LADHA YAKE INATEGEMEA MSIKILIZAJI HUPENDELEA NINI ILI KUUPENDA WIMBO AU MUZIKI HUSIKA, HAKUNA WIMBO AU MUZIKI USIO NA WAPENZI(WADAU),

KWA MTU ANAYEJUA MUZIKI HACHAGUI MUZIKI WA KUSIKILIZA KWANI MUZIKI SI KUCHEZA WALA MBWEMBWE BALI MPANGILIO WA SAUTI WENYE MVUTO NA MASHAIRI YENYEKUVUTIA MASIKIONI, HIVO KWANGU BINAFSI MPAKA SASA COVER 2 PEKEE NDIZO NZURI(HII NI KUTOKANA NA MM NAVOUFAHAMU MUZIKI),

COVER YA KWANZA NI HII YA BEKA
COVER YA PILI NI YA JONA SELLE

 
Katika cover zote za huu wimbo, cover ninayoikubali na ambayo huwa naisikiliza na kuitazama kuliko original version ni ya Joe Thomas. Cover ya huyu dogo inapwaya sana sijaikubali kiivo bora hata ya yule mkenya alieimba kwa kiswahili.


Jamaa anazeka na satui bado kabisa.
 
Huyu Adele nyimbo zake zote za kulialia kuhusu x-boyfriend tu. Sijui hana other subjects kwenye maisha yake.

Mkuu huyo ndio msanii anaimba kile kilichomtokea na ndio maana nyimbo zake zina hit...
Rejea pia kwenye upande wa filamu zipo zile zinazobamba za real story..
Sometimes kutunga ngumu bora uimbe au uelezee reality ambapo watu wanapay attention.

Kwa sasa huyu mtoto wa London amabaye anatokea katka kitongoji cha Tottenham ndio anauza sana na hizo hizo nyimbo za kulia lia.
 

Ila Dogo kajitahidi kwa kiasi chake...sema kuna marekebisho kidogo kama atayatilia mkazo anaweza kuja msanii mkubwa sana...
maana kama sauti anayo.
 
Ila Dogo kajitahidi kwa kiasi chake...sema kuna marekebisho kidogo kama atayatilia mkazo anaweza kuja msanii mkubwa sana...
maana kama sauti anayo.

mkuu sio beka huyo ni tristan wilds ingekua beka now angekua clouds tv n ruge ingekua habari ya mujini
 
jamani naomba nieleweshe maana nasikia tu sijui cover ya Adele mara cover ya sorry ya bieber ......naomba kueleweshwa cover ni nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…