Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anakamuliwa jipuila jamaa ana sura ngumu...anyway
Nimeangalia na kusikiliza cover kibao za wimbo wa Hello wa Msanii nguli wa Uingereza 'Adele'. Leo nimeangalia na kusikiliza cover ya msanii wa kibongo Beka nimegundua dogo ana kipaji si haba.
Amedai kuwa hajui lugha ya kiingereza ila maajabu aliyofanya makubwa sana, ameweza kutamka maneno vizuri kwa asilimia 90.
Beka ameingia kwenye Top 10 yangu ya walioimba cover ya wimbo huu maarufu kwa sasa.
Hongera sana msanii Beka.
Katika cover zote za huu wimbo, cover ninayoikubali na ambayo huwa naisikiliza na kuitazama kuliko original version ni ya Joe Thomas. Cover ya huyu dogo inapwaya sana sijaikubali kiivo bora hata ya yule mkenya alieimba kwa kiswahili.
Huyu Adele nyimbo zake zote za kulialia kuhusu x-boyfriend tu. Sijui hana other subjects kwenye maisha yake.
...ni kweli sijui mziki kiivyo kwa maana ya technicalities, lakini kwa usikilizaji tu najua..na feeling yangu ni kuwa rendition ya Beka haina ubora huo kama tunavyotaka kuaminishwa, ni ten times better hata ya huyu Dela (with a twist kuwa kaifanya kwa kiswahili)
Ila Dogo kajitahidi kwa kiasi chake...sema kuna marekebisho kidogo kama atayatilia mkazo anaweza kuja msanii mkubwa sana...
maana kama sauti anayo.
huyo sio beka ni tristan wilds
Duh mkuu ubishi ni kipaji au umeamua tu kuzingua jukwaa?unakaataje kua sio Beka khaaaaa.mkuu sio beka huyo ni tristan wilds ingekua beka now angekua clouds tv n ruge ingekua habari ya mujini
ila jamaa ana sura ngumu...anyway
Duh mkuu ubishi ni kipaji au umeamua tu kuzingua jukwaa?unakaataje kua sio Beka khaaaaa.