Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kwa hiyo ulitaka awe anafanya show bure kisa bila hizo show usingemfahamu?!Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Yaani umemjua Beka kwenye show za ccm? Serengeti boys mna mambo kweli.Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Kwa hiyo hayo unayosema ndio yanamnyima haki ya kusema ukweli?Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Wewe ni zoba kwel kwel kwahiyo kipaji alipewa cha niniHuyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?