Beka: Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumesababisha Yamoto Band tushuke

Beka: Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumesababisha Yamoto Band tushuke

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Dogo aliyekuwa akiunda kundi hilo Beka amedai Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumechangia kuishusha Yamoto Band kwa kuwa alikuwa busy na shughuli za serikali zaidi,

pia amesema walikuwa hawapewi fedha kutokana na show walizokuwa wakifanya bali walikuwa wakifanyiwa vitu kama kujengewa nyumba na kuandaliwa project mpya za muziki

Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
 
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Kwa hiyo ulitaka awe anafanya show bure kisa bila hizo show usingemfahamu?!
 
Hapo ndipo utajiuliza mkubwa nani kati ya Pesa na Fella.
 
Kila ashike lake hiyo ndiyo dawa japo naona nyota ya Aslay pekee iking'aa wengine kwishinei
 
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?

Mkuu kakosea wapi? mbona yuko genuine kabisa ...au kajigamba au karinga??

unajihisi
 
Mkubwa Fela ametumia mgongo wa YaMoto kujineemesha
 
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Kwa hiyo hayo unayosema ndio yanamnyima haki ya kusema ukweli?
 
[QUOTE="muongo tyu wewe fela ni manager tu so hawezi aribu chochote
 
Malomboso ndio real deal...wasafi.com kama nawaona
 
Wakishaamini unawaitaj zaid ya wanavyokuitaj mapenz ya wadau wamjin ugeukà-->KA".. samaki na maji. Uishi ndan yake 2! nje yake uvuliwe, kwamsaadake upikwe kisha awanawishe uliwe.
 
Back
Top Bottom