King Edward
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 230
- 376
Nakusaport alafu wanajiona ndo wapo kwao wanna jiproud Sana kushinda at wenye nyumba alafu wanakuja wamechakaaa wakisha jirenew anajiona mzaliwa wa town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi beki 3 hawarudi kwao wakiwa single. Hurudi na mtoto au watoto.Ndugu zangu mniombee shetani ashindwe wameleta beki 3 mupyaaaaa [emoji3][emoji3]
Duh brother hata kwa mpira anapata?[emoji119]Kama umeoa msifie aliempata mke wako kitaa anafurahi kama wewe utagongewa kwa kipimo unachomgonja beki3 na kama ni home kwa bimkubwa subir aibu ya kumpa mimba..
Kwel Mzee miez miwili tu ashakuwa mwenye nyumbaNakusaport alafu wanajiona ndo wapo kwao wanna jiproud Sana kushinda at wenye nyumba alafu wanakuja wamechakaaa wakisha jirenew anajiona mzaliwa wa town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu ugali WA shikamoo ale beki 3,, no no no nakula vyoteMkuu kumbe bado unakula ugali wa shikamoo.
Ondoka kwa mzazi kajitegemee, hutawaza beki tatu tena
Tutafika tu Mzeedah! mpaka ifike January....
Alafu ugali WA shikamoo ale beki 3,, no no no nakula vyote
Na walio wengi huwa hawajui kukataa na pengine hufanya hvo ili kulinda vibarua vyaoBeki tatu wanashika fasta sana mimba
thank me later