Beki 3 mpya

Beki 3 mpya

Hakunaga binadamu anayeshika mimba fasta na haraka Kama beki tatu
 
Nakusaport alafu wanajiona ndo wapo kwao wanna jiproud Sana kushinda at wenye nyumba alafu wanakuja wamechakaaa wakisha jirenew anajiona mzaliwa wa town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umefeli broo sikufichi wala
Nakusaport alafu wanajiona ndo wapo kwao wanna jiproud Sana kushinda at wenye nyumba alafu wanakuja wamechakaaa wakisha jirenew anajiona mzaliwa wa town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama umeoa msifie aliempata mke wako kitaa anafurahi kama wewe utagongewa kwa kipimo unachomgonja beki3 na kama ni home kwa bimkubwa subir aibu ya kumpa mimba..
 
Duh brother hata kwa mpira anapata?[emoji119]
 
Nakusaport alafu wanajiona ndo wapo kwao wanna jiproud Sana kushinda at wenye nyumba alafu wanakuja wamechakaaa wakisha jirenew anajiona mzaliwa wa town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel Mzee miez miwili tu ashakuwa mwenye nyumba
 
Mkuu kumbe bado unakula ugali wa shikamoo.

Ondoka kwa mzazi kajitegemee, hutawaza beki tatu tena
 
Hakuna binadamu ambae huwa anashika mimba haraka kama beki 3![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom