kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Huyo ni beki au huwa unaangalizia mpira nyuma ya Tv?Artulo vidal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni beki au huwa unaangalizia mpira nyuma ya Tv?Artulo vidal
Unajifinya na kujitekenya mwenyewe!!!
Wewe mama unaoneka una stress sana za maisha.
Vipi unahitaji bwana??
Ramos kaingia Madrid 2004 akiwa beki wa kuliaRamos hajatimuza ata miaka 10 anacheza beki ya Kati amevamia fani tu
Ramos kaingia Madrid 2004 akiwa beki wa kulia
Kuanzia 2008-2009 alianza kucheza kati rasmi
Pigs hesabu miaka mingapi mpaka Leo?
kama ulipokea usisite kutoa tena
Uko sahihi kabisa, na kuanzia msimu huo wa 2008/2009 beki wa kulia Real Madrid alikuwa akicheza Alvaro Arbeloa.Ramos kaingia Madrid 2004 akiwa beki wa kulia
Kuanzia 2008-2009 alianza kucheza kati rasmi
Pigs hesabu miaka mingapi mpaka Leo?
kama ulipokea usisite kutoa tena
Ndivyo ilivyo kamamdaUko sahihi kabisa, na kuanzia msimu huo wa 2008/2009 beki wa kulia Real Madrid alikuwa akicheza Alvaro Arbeloa.
Ramos akawa anacheza kati nafikiri pamoja na Pepe, baada ya kushindwa kung'ara kwa mabeki kama Chrisroph Metzelder, Fabio Canavarro nk
Leo hii ukiwa unatengeneza kikosi cha msimu mmoja tu wa mwaka huu, kati ya Ramos na VVD unamchukua nani?
Leo hii ukiwa unatengeneza kikosi cha msimu mmoja tu wa mwaka huu, kati ya Ramos na VVD unamchukua nani?
mzee baba ningekua Mimi ningepiganaAisee, we jamaa ni bonge la fala. Nimekudharau sana.
Aisee, we jamaa ni bonge la fala. Nimekudharau sana.
Mbona mie ndio nilikudharau mapema sana. Nawaza hao akina Debora wanatabia gani kama mama yao ndio yupo hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaandika utumbo hivi wewe fala??
Pitia record za FIFA XI for the past 10 years upige hesabu mwenyewe kati yao nani amejaza record.
Unaonekana gala flani, Moira haujui, Hadi mie mwanamke nakushinda.
Hivi huyu jamaa baada ya kutoka simba alienda wapi ?Victor Costa Nyumba, mimi ni Yanga damu ila heshima kwa huyu jamaa. Alimpiga chenga beki mmoja Msumbiji kila mmoja alishika kichwa.