Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

Gerrard Pique he is the best (Barca)

Mathis De Light (Ajax)

VVD. ( Liverfools)

Koulibaly kalidou ( Napoli)

Laporte ( The citizens)
 
Ramos kaingia Madrid 2004 akiwa beki wa kulia
Kuanzia 2008-2009 alianza kucheza kati rasmi
Pigs hesabu miaka mingapi mpaka Leo?

kama ulipokea usisite kutoa tena

Leo hii ukiwa unatengeneza kikosi cha msimu mmoja tu wa mwaka huu, kati ya Ramos na VVD unamchukua nani?
 
Ramos kaingia Madrid 2004 akiwa beki wa kulia
Kuanzia 2008-2009 alianza kucheza kati rasmi
Pigs hesabu miaka mingapi mpaka Leo?

kama ulipokea usisite kutoa tena
Uko sahihi kabisa, na kuanzia msimu huo wa 2008/2009 beki wa kulia Real Madrid alikuwa akicheza Alvaro Arbeloa.

Ramos akawa anacheza kati nafikiri pamoja na Pepe, baada ya kushindwa kung'ara kwa mabeki kama Chrisroph Metzelder, Fabio Canavarro nk
 
Ndivyo ilivyo kamamda

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Leo hii ukiwa unatengeneza kikosi cha msimu mmoja tu wa mwaka huu, kati ya Ramos na VVD unamchukua nani?

Mbona unaandika utumbo hivi wewe fala??
Pitia record za FIFA XI for the past 10 years upige hesabu mwenyewe kati yao nani amejaza record.
Unaonekana fala flani, Mpira haujui, Hadi mie mwanamke nakushinda.
 
Mbona unaandika utumbo hivi wewe fala??
Pitia record za FIFA XI for the past 10 years upige hesabu mwenyewe kati yao nani amejaza record.
Unaonekana gala flani, Moira haujui, Hadi mie mwanamke nakushinda.

Ndiyo maana nimekwambia hutaweza kumaliza stress zako kwa kunitukana au kumtukana yeyote humu.

Ukimaliza kutukana utajikuta taabu iko pale pale.
 
Mashabiki wa PL mnatabu kweli aisee

Diego Godin (Atletico Madrid)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…