Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,131
Nikiangalia soka la zamani hapa tz ni kweli kulikuwa na mabeki wengi na wazuli kama kina..
Jella mtangwa, mohammed bakari tall, allan shomali, lila shomari,kasimu matitu, n.k. Ila sitomsahau jella mtagwa aliyechezea pan africa na taifa stars miaka ile nakumbuka picha yake iliwahi kuwekwa katika stamp ya posta. Mimi naamini jella mtagwa ndio beki bora kuwahi kutokea mpaka sasa... Je na nyie mnaonaje tujikumbushe kidogo