Beki bora wa Tanzania miaka ya nyuma ni nani?

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
1,795
Reaction score
1,131
Nikiangalia soka la zamani hapa tz ni kweli kulikuwa na mabeki wengi na wazuli kama kina..
Jella mtangwa, mohammed bakari tall, allan shomali, lila shomari,kasimu matitu, n.k. Ila sitomsahau jella mtagwa aliyechezea pan africa na taifa stars miaka ile nakumbuka picha yake iliwahi kuwekwa katika stamp ya posta. Mimi naamini jella mtagwa ndio beki bora kuwahi kutokea mpaka sasa... Je na nyie mnaonaje tujikumbushe kidogo
 
Twaha hamidu "Noriega",beki wa Kati Ramadhani Lenny(Simba),Keneth Pius Mkapa(Yanga),Jimmy morredy (Tukuyu stars),Selemani Pembe(Sigara),Wastara baribari (Milambo),Beya simba (Pamba),Alphonce modest,(SIMBA) Deo Mkuki (simba) Moustafa hoza (Simba) Ngandu Ramadhani (Yanga).

Makipa...madata lubigisa,chochi kilemba,Makenzi Ramadhani,Rifat said,Mohamed mwameje,Juma Pondamali,Dhikiri Mchumila..
 
Hebu Muoneni beki bora Young Africa na Taifa Stars Ahmad Amasha wa Sasa.ni huyo aliyeketi kushoto kwa kijana anayecheka-hii picha ni mwaka huu mwezi February pale Muscat Oman ambako ndio maskani yake mzee wetu huyu na familia yake.
 
Attachments

  • 1434368011462.jpg
    1434368011462.jpg
    46.3 KB · Views: 513
Twaha hamidu "Noriega",beki wa Kati Ramadhani Lenny(Simba),Keneth Pius Mkapa(Yanga),Jimmy morredy (Tukuyu stars),Selemani Pembe(Sigara),Wastara baribari (Milambo),Beya simba (Pamba),Alphonce modest,(SIMBA) Deo Mkuki (simba) Moustafa hoza (Simba) Ngandu Ramadhani (Yanga).

Makipa...madata lubigisa,chochi kilemba,Makenzi Ramadhani,Rifat said,Mohamed mwameje,Juma Pondamali,Dhikiri Mchumila..

Mkuu Ramadhani Lenny alikuwa mchezaji wa kiungo, Beya Simba alikuwa winga na Jimmy Morredy alikuwa mshambuliaji, hawakuwa mabeki.
 
Kama walikuwa bora basi enzi zao wangeshiriki AFCON mara kibao..kama hawakufanya vizuri kimataifa basi hizo ni sifa za "kijinga"..Hawana tofauti na hawa "wahapahapa F.Cs" (Simba na Yanga)
 
Yaani badala ya Kusifia umekosoa mpaka umesahau kuwa kiungo ni Beki wa kati,namba 6 ramadhani Maufi Lenny(marehemu) Kiungo namba 8 Hussein Amani Marsha...
 
Ndugu ulioponda wachezaji hawa yawezekana kabisa haukuwepo duniani kipindi hicho,na kwa taarifa yako tu hata kwa rank za fifa kiwango cha tanzania miaka ya 75-80 kilikua bora na juu kuliko hata baadhi ya nchi nyingi za west africa mfano ivory coast,huyo mogella kiwango chake huenda ilikua zaidi ya drogba unaemjua wewe,miaka ya 60 /70 tanzania ilitoa wachezaji 2au 3 kwenye kombaini ya timu ya dunia unalijua hilo?
 
kombaini ya Afrika
 
Kama walikuwa bora basi enzi zao wangeshiriki AFCON mara kibao..kama hawakufanya vizuri kimataifa basi hizo ni sifa za "kijinga"..Hawana tofauti na hawa "wahapahapa F.Cs" (Simba na Yanga)

ngazi za vilabu kuna simba fainali kombe la caf, malindi nusu kombe la washindi, yanga robo final ya klabu bingwa 98
 
Yaani badala ya Kusifia umekosoa mpaka umesahau kuwa kiungo ni Beki wa kati,namba 6 ramadhani Maufi Lenny(marehemu) Kiungo namba 8 Hussein Amani Marsha...

Toka lini kiungo akawa beki wa kati, na huyo beki wa kati atakuwa nani, kipa?
 
Miaka ya nyuma!? IPI!? Hata 2010 ni mwaka wa nyuma..

Boniface Pawassa, Said Mwamba Kizota,
 
Ni bora kujadili soka la miaka hiyo la Bongo japo ni historia imeabaki
kuliko kujadili kabumbu la sasa hapa bongo
 
Muhidini Cheupe Yanga & A. F. C
Kimune Mwita Simba& AFC
Twaha Hamid Simba
Kasongo Athumani Simba
Kenneth Mkapa Yanga
 
Back
Top Bottom