Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,131
george masatu, david mwakalebela, kassongo athuman
yah huyu jamaa alikuwa yuko vizuri kuanzia Pamba FC mpaka Simba SCgeorge massatu namkumbuka sana kwa kutoa mipira iliyokuwa inaelekea nyavuni.
Twaha hamidu "Noriega",beki wa Kati Ramadhani Lenny(Simba),Keneth Pius Mkapa(Yanga),Jimmy morredy (Tukuyu stars),Selemani Pembe(Sigara),Wastara baribari (Milambo),Beya simba (Pamba),Alphonce modest,(SIMBA) Deo Mkuki (simba) Moustafa hoza (Simba) Ngandu Ramadhani (Yanga).
Makipa...madata lubigisa,chochi kilemba,Makenzi Ramadhani,Rifat said,Mohamed mwameje,Juma Pondamali,Dhikiri Mchumila..
Yaani badala ya Kusifia umekosoa mpaka umesahau kuwa kiungo ni Beki wa kati,namba 6 ramadhani Maufi Lenny(marehemu) Kiungo namba 8 Hussein Amani Marsha...Mkuu Ramadhani Lenny alikuwa mchezaji wa kiungo, Beya Simba alikuwa winga na Jimmy Morredy alikuwa mshambuliaji, hawakuwa mabeki.
Ndugu ulioponda wachezaji hawa yawezekana kabisa haukuwepo duniani kipindi hicho,na kwa taarifa yako tu hata kwa rank za fifa kiwango cha tanzania miaka ya 75-80 kilikua bora na juu kuliko hata baadhi ya nchi nyingi za west africa mfano ivory coast,huyo mogella kiwango chake huenda ilikua zaidi ya drogba unaemjua wewe,miaka ya 60 /70 tanzania ilitoa wachezaji 2au 3 kwenye kombaini ya timu ya dunia unalijua hilo?
Kama walikuwa bora basi enzi zao wangeshiriki AFCON mara kibao..kama hawakufanya vizuri kimataifa basi hizo ni sifa za "kijinga"..Hawana tofauti na hawa "wahapahapa F.Cs" (Simba na Yanga)
Yaani badala ya Kusifia umekosoa mpaka umesahau kuwa kiungo ni Beki wa kati,namba 6 ramadhani Maufi Lenny(marehemu) Kiungo namba 8 Hussein Amani Marsha...
George Masatu, David Mwakalebela, Kassongo Athuman