Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hujakosea sana.. Umesahau tu alishacheza pia nafasi ya beki
Okay mkuu,
Inawezekana sikubahatika kumsikia au kumshuhudia akicheza nafasi ya beki uwanjani...hata hivyo nashukuru kwa kunijuza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea sana.. Umesahau tu alishacheza pia nafasi ya beki
Lenny, Mored,Wastara na Beya Simba hawakuwa mabeki mazee..Twaha hamidu "Noriega",beki wa Kati Ramadhani Lenny(Simba),Keneth Pius Mkapa(Yanga),Jimmy morredy (Tukuyu stars),Selemani Pembe(Sigara),Wastara baribari (Milambo),Beya simba (Pamba),Alphonce modest,(SIMBA) Deo Mkuki (simba) Moustafa hoza (Simba) Ngandu Ramadhani (Yanga).
Makipa...madata lubigisa,chochi kilemba,Makenzi Ramadhani,Rifat said,Mohamed mwameje,Juma Pondamali,Dhikiri Mchumila..
Beki kisiki aliye dumu sana ktk timu ya taifa alikuwa Mohammed Chuma. Huyu alikuwa chinga kama kumbukumbu zangu ziko sahihi alikuwa akichezea timu ya bandari Mtwara.
Paul John Masanja(yanga Fc) Na Victor Costa(simba) enzi zao hawa ilikuwa shughuli