Beki bora zaidi kuwahi kumshuhudia!

Namuelewa sana godin.. Huyu mwamba

Kwa miaka ya nyuma maldin, fernando hierro, lizarazu walikuwa wananikosha sana..

John stones, eric bailly, jose gimenez na godin wananikosha pia.
 
Bila kumsahau cesar Sampaio ingawa alikua kiungo mkabaji alirudishwa beki
 

CAFU, upo righ sana...! Nlikuwa nashangaa watu wanataja majina ya ajabu ajabu bila huyu Nguli wa soka duniani
 
Boniface Pawasa,Vidic,Fabio Canavaro,Caf,Roberto Carlos,Jaap Stam,Evra
 
Roberto Caros
Tony Adams
Martin Keown
Cafu
Mardin
Winterban
Jap Stamu
David Mwakalebela
Rigobert Song
George Magele Masatu
Taribo West
 

Hapa ndiyo najua kwa nin miaka mingi italia walikuwa wamewekeza kwenye mabeki kama hivi leo hispania wanaongoza kwa viungo
 
Sergio ramos
Cafu
Lucio
Dan Alves
Canavaro wa ukwel na wa Tz
 
Kama mtume wa mwisho wa mpira wa miguu aka dinho gaucho alisema hamna beki mahiri kama nesta. Basi hata mm nitaamini hivyo. Nesta, maldini,cafu, costarcuta, kaladze, bilinderi, thuram, astori, zaneti. Hao watu hatari sana.
 
Listi yoyote ya mabeki kama haina jina la Marcel Desailly haina mashiko.
 
Roberto Carlos, Ramos, Rio Ferdinand, Talibo West & Pawasa
 
RB-Lahm, Alves, Zambrotta,Zanetti, Cafu,Thuram


LB-Maldini, Carlos, Cole, Grosso,Evra,

CB-Ayala,Nesta, Cannavaro,Vidic, Blanc, Bonucci, Ramos, Puyol
Paul John Masanja,Kimanda Constantine,Vincent Company,George Magere Masatu,Fred Mbuna,Pepe etc
 
Daniel passarella
Franz Beckenbauer
Oscar Ruggeri
Javier zaneti
Javier Mascherano
Alessandro Nesta,
Gabriel Heinz
Sergio Ramos
Nicolas Otamendi
Marcos Rojo
Paulo Maldini
Puyol
Jose santamarina
Pique
Cafu
Roberto Ayala
Roberto Carlos
Jose Luis Brown
Fabriccio coloccin
Juan Pablo Sorin
Roberto Sensini
Silvio marzolini
Martin Demichelis
Luis Galvan
Gabriel Milito
Samuel Walter
Nicolas Budisso
Jose Chamot
Marcos Rojo
Rafael Albrecht
Matias Almeyda
Ricardo Giusti
Nestor Rossi
Marcelo Gallado
Osvaldo Piazza
Francisco Sá
Enrique Wolff
Jose Basualdo
Gorge Higuain
Gorge Carrascosa
Federico Sacchi
Carlos Sosa
Juan Francisco Lo..
Federico Vairo
Jose Solomon
Angel Bargas
Francisco Olazar
Canavaro
Dani Alves
Evra Stam
Taribo West
 
Ramadhani waso + boniface pawasa + victor costor jumba kwa bongo kwa ulaya kuna safu ya ulinz ya jose mouh akiwa na intermilan wakiongozwa na kaka mkuu lucio..
 
Hivi Kapteni Dunga kwanini hamumtaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…