makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Namuelewa sana godin.. Huyu mwambaMu uruguay mmoja mkatili sana Paolo Montero huyu alikuwa anatumia mguu wa kushoto,ana uwezo wa kukokota mpira na kutoa pass murua kwa ufasaha ,halafu alikuwa kisiki linakaba balaaa
Sema tatizo lake alikuwa mhuni sana ,rafu za kijinga anacheza na kadi nyekundu nyingi alikuwa anapata ,
Juventus hiyo Montero akisaidiana na Brindelli au Tudor mpk 2005
Paolo Montero
Roberto Ayala
Diego Godin
[emoji115] [emoji115] [emoji122] [emoji122]
Kwa miaka ya nyuma maldin, fernando hierro, lizarazu walikuwa wananikosha sana..
John stones, eric bailly, jose gimenez na godin wananikosha pia.