Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hata mabeki bora duniani kuna mechi ziliwakataa, job bado atakabaki kuwa beki kisikiUnajua maana ya kisiki muulize Mechi ya al hilal hataki kuwasikia huyo ndugu yake Job ndugai
Alicheza vizuri sana Ile game sema wale jamaa walijua Kutumia kosa Moja pekee kufanya matokeo yawe yalivyokuwa ila kwa Sasa ni beki mzuri sana na daraja sahihi kwa YangaUnajua maana ya kisiki muulize Mechi ya al hilal hataki kuwasikia huyo ndugu yake Job ndugai
Amesaini mpunga wa maana, hatutaki ya fei hapaMlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado ni wanjano na kijani hivyo bado atakua pale kwenye ukuta wa Yanga!!.
Ikimbukwe job alikuwa na kwenye Mazungumzo ya muda mrefu ya kusaini kandarasi mpya na waajili wake baada ya mkataba wa mwanzo kuwa ukingoni.
View attachment 2588365
Halafu sijui huwa mashabiki huwa hawaoni udhaifu huu. Hata mchezaji awe mzuri vipi kukaba kwa miguu ila akiwa mfupi ni kazi na bure kucheza beki ya katikati.Huyo beki mfupi hachezi header balls sisi wa nini π π π
Lisandro Martinez wa Man U ni Mrefu???Halafu sijui huwa mashabiki huwa hawaoni udhaifu huu. Hata mchezaji awe mzuri vipi kukaba kwa miguu ila akiwa mfupi ni kazi na bure kucheza beki ya katikati.