sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mlinzi bora kabisa upande wa kulia ,bila shaka umecheza mpira we bwana.Simba wanazunguruka tu, chukua kelvin kijiri akazime shida za shavu la kulia.
Sure, Nakubaliana na weweMlinzi bora kabisa upande wa kulia ,bila shaka umecheza mpira we bwana.
Huyo kasinya Yanga tayariSimba wanazunguruka tu, chukua kelvin kijiri akazime shida za shavu la kulia.
Ukuta wa YerickoNani anampisha?
Anaenda kupoteza, ngumu kumtoa yao kwasi kw ubora ule, atakuwa chaguo la pili, labda ampige misumari.Huyo kasinya Yanga tayari
🤣 Sahihi nimeucheza na mpaka sasa nikipata nafasi naenda kuruka na veteran wenzanguMlinzi bora kabisa upande wa kulia ,bila shaka umecheza mpira we bwana.
Dayamond anampishaNani anampisha?
Asije akawa ni Makame Mbarawa!Kuna beki mmoja pale singida fountain gate fc ana rasta jina limenitoka ni MTU na nusu kama cjakosea anaitwa makame aiseeeeee
Nakualiana na weweKijiri ni average player ila ni mkamiaji...maarifa yake kwenye umaliziaji c mazuri Sana ....
Sometimes ana rafu za kijinga.
Hana tofauti Sana na mwaita Ngereza .....sema tu yeye ni mkamiaji sanaaa.
Ahsante nakaribisha kukosolewa.🙏
Simba inarudi kwenye falsafa yake. Kijiri ana matumizi ya nguvu na mbio kuliko akiliSimba wanazunguruka tu, chukua kelvin kijiri akazime shida za shavu la kulia.
Kennedy JumaNani anampisha?
Tunakutegemea kwa za ndaniiiii toka hapo Msimbazi.Kennedy Juma