Beki Lameck Lawi amesaini Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/2025

Beki Lameck Lawi amesaini Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/2025

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
55769640.jpg

Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC.

Mkataba wake ni miaka miwili.

PIA SOMA
- Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

- Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri?
 
Kijiri ni average player ila ni mkamiaji...maarifa yake kwenye umaliziaji c mazuri Sana ....
Sometimes ana rafu za kijinga.

Hana tofauti Sana na mwaita Ngereza .....sema tu yeye ni mkamiaji sanaaa.

Ahsante nakaribisha kukosolewa.🙏
 
Kuna beki mmoja pale singida fountain gate fc ana rasta jina limenitoka ni MTU na nusu kama cjakosea anaitwa makame aiseeeeee
 
Kijiri ni average player ila ni mkamiaji...maarifa yake kwenye umaliziaji c mazuri Sana ....
Sometimes ana rafu za kijinga.

Hana tofauti Sana na mwaita Ngereza .....sema tu yeye ni mkamiaji sanaaa.

Ahsante nakaribisha kukosolewa.🙏
Nakualiana na wewe
 
Back
Top Bottom