Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Ndiyo maana kwenye nchi honest kama Sweden hawapo!Hakunaga mhindi 'honest businessman'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana kwenye nchi honest kama Sweden hawapo!Hakunaga mhindi 'honest businessman'
Dah wachezaji wa Tanzania kwa kweli! Sijuhi kuna aina za vyakula tunakosa? Beki kama huyo anaweza kweli kumkaba mtu kama Ibrahimovic au Drogba alipokuwa kwenye ubora wake?
atapata shavu ama hukusikia kule alikua anashindia mlo mmoja hadi wakandamana?Dah wachezaji wa Tanzania kwa kweli! Sijuhi kuna aina za vyakula tunakosa? Beki kama huyo anaweza kweli kumkaba mtu kama Ibrahimovic au Drogba alipokuwa kwenye ubora wake?
ameshazitoa? mkuu nadhani wewe ni mtu makiniMo bilioni 20 bado tunapeleka wachezaji mwananyamala?
seriously?
Mimi ni Simba damu.....
wewe kama unaona kupeleka wachezaji mwananyamala hospital ni sawa..haya
mimi naona kwa ukubwa wa timu ya Simba hata kama Mo hajapewa timu
wachezaji wanapaswa kuwa na insuarance ya matibabu ya hospitali yoyote ile Tz...
wachague wenyewe....sio kwenda kugombea vitanda huko mwananyamala hospital
ameshazitoa? mkuu nadhani wewe ni mtu makini
Kwa hio MO ameshapewa Timu?
basi hoja yako ingekuwa hadhi ya Simba na hospitali aliyoenda....na hoja siyo Uwekezaji wa MO.......hata hivyo kuna factors nyingi zinahusika hadi kupelekwa hapo
uko sahihi mkuuHata Yanga ya Manji wachezaji hawana health insurance
Kwani za Mavugo ametoa nani?