Beki Mpya Simba Aanguka Bafuni

Dah wachezaji wa Tanzania kwa kweli! Sijuhi kuna aina za vyakula tunakosa? Beki kama huyo anaweza kweli kumkaba mtu kama Ibrahimovic au Drogba alipokuwa kwenye ubora wake?
ulinganisho wako wacha niende nirudi
 
Dah wachezaji wa Tanzania kwa kweli! Sijuhi kuna aina za vyakula tunakosa? Beki kama huyo anaweza kweli kumkaba mtu kama Ibrahimovic au Drogba alipokuwa kwenye ubora wake?
atapata shavu ama hukusikia kule alikua anashindia mlo mmoja hadi wakandamana?
 
basi hoja yako ingekuwa hadhi ya Simba na hospitali aliyoenda....na hoja siyo Uwekezaji wa MO.......hata hivyo kuna factors nyingi zinahusika hadi kupelekwa hapo
 
Hata Yanga ya Manji wachezaji hawana health insurance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…