Beki namba tatu simba kuna kupigana misumari au kawaida??

Beki namba tatu simba kuna kupigana misumari au kawaida??

JONASON

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
461
Reaction score
702
Kwa jinsi ninavyo angalia juzi mechi ya kirafiki kule zenji gulioni vs simba mchezaji zimbwe jr alizimia takribani dk3 na kutolewa na leo hii simba vs yanga mchezaji kiraka erasto nyoni alicheza namba tatu nae alipata majeruhi yaliyopelekewa kutolewa na kuingia zimbwe jr..Hapo najiuliza ni misumari (ndumba) au kawaida??
 
Hilo nalo lipo wanakuja sana Huku Tanga kurenew
 
Back
Top Bottom