Kunguru Mjanja JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 2,046 Reaction score 3,971 Sep 19, 2017 #1 Beki wa Azam Yakubu Mohammed amemsifu mshambuliaji John Bocco na kumtakia maisha mema katika klabu yake ya Simba. Jana Bocco alifunga bao la kideoni katika mchezo wa Ligi Kuu ambao Simba iliibugiza Mwadui mabao 3-0. Yakubu alisema Bocco ni mpambanaji na anayeweza kutumia vizuri nafasi anazopata. "Analijua goli muhimu viungo wa Simba wajue jinsi ya kumchezesha," alisema Yakubu ambaye alikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo huo. CHANZO: Mwananchi
Beki wa Azam Yakubu Mohammed amemsifu mshambuliaji John Bocco na kumtakia maisha mema katika klabu yake ya Simba. Jana Bocco alifunga bao la kideoni katika mchezo wa Ligi Kuu ambao Simba iliibugiza Mwadui mabao 3-0. Yakubu alisema Bocco ni mpambanaji na anayeweza kutumia vizuri nafasi anazopata. "Analijua goli muhimu viungo wa Simba wajue jinsi ya kumchezesha," alisema Yakubu ambaye alikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo huo. CHANZO: Mwananchi
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 19, 2017 #2 Halafu huyu ndio alikuwa beki wa kuchukua pale Azam
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 20, 2017 #3 Asante kwa taarifa mkuu
B bene michael Senior Member Joined Mar 1, 2017 Posts 130 Reaction score 98 Sep 20, 2017 #4 OKW BOBAN SUNZU said: Halafu huyu ndio alikuwa beki wa kuchukua pale Azam Click to expand... Utamchukua wakati Azam wako wapi?
OKW BOBAN SUNZU said: Halafu huyu ndio alikuwa beki wa kuchukua pale Azam Click to expand... Utamchukua wakati Azam wako wapi?
mwandende JR JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,090 Reaction score 1,336 Sep 20, 2017 #5 Salamu ziwafikie MGONGO wazi fc
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Sep 22, 2017 #6 Ameshaambukizwa usimba
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Sep 22, 2017 #7 OKW BOBAN SUNZU said: Halafu huyu ndio alikuwa beki wa kuchukua pale Azam Click to expand... Huo ubavu wanao??
OKW BOBAN SUNZU said: Halafu huyu ndio alikuwa beki wa kuchukua pale Azam Click to expand... Huo ubavu wanao??