Beki wa Azam FC Yakubu Mohammed (Rasta) amwagia sifa kedekede mshambuliaji wa Simba SC John Boko

Beki wa Azam FC Yakubu Mohammed (Rasta) amwagia sifa kedekede mshambuliaji wa Simba SC John Boko

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
AZAM.jpg


Beki wa Azam Yakubu Mohammed amemsifu mshambuliaji John Bocco na kumtakia maisha mema katika klabu yake ya Simba.

Jana Bocco alifunga bao la kideoni katika mchezo wa Ligi Kuu ambao Simba iliibugiza Mwadui mabao 3-0.

Yakubu alisema Bocco ni mpambanaji na anayeweza kutumia vizuri nafasi anazopata.

"Analijua goli muhimu viungo wa Simba wajue jinsi ya kumchezesha," alisema Yakubu ambaye alikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo huo.

CHANZO: Mwananchi
 
Back
Top Bottom