Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Geuza kanda upande wa piliAu sijaelewa?
Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.
Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana.
Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu HamzaView attachment 3235591
Mkuu hiyo inaitwa Sarcasm.Uwe na Akili na wewe 12 miaka anaeuhusiwa kuvaa jezi za betting kifuani?
Sukari imepanda kwa kasi sana🤣Uwe na Akili na wewe 12 miaka anaeuhusiwa kuvaa jezi za betting kifuani?
Shida ni kwamba watu wanachukulia siriaz kila jamboMkuu hiyo inaitwa Sarcasm.
Beki kitasa huyoUyu ndie alishikilia bukta ya prince Dube mpaka akaichana wakati anapimwa umri.
Alitakiwa apewe Straight RED kwakua alikua mtu wa mwisho.
Makosa ya kibinadamu yaka mbeba.
Beki wa kati ambaye mzito kuliko gunia la misumari hali inayo msababishia majeruhi ya kila wakati hasa kwenye mechi zenye kasi.
Rudi memkwaAu sijaelewa?
Franco Baresi wa BongoVictor Costa Nampoka ' Nyumba'... alikuwa beki hasa.
Wachambuzi wetu wengi humu maredioni na tv stations ni Watoto Wa 'Alf mbili' sio rahisi kukuelewa..!
Sukari imepanda kwa kasi sana🤣
Huna akili. Nani kakuuliza wewe unashabikia timu gani?Mi ni Simba ila sisifii kila takataka bro,kichwani zipo
Huna akili. Nani kakuuliza wewe unashabikia timu gani?